Kwa wale waliosoma Ifakara sekondari

Kwa wale waliosoma Ifakara sekondari

Siku hizi mkuu wa shule ni mama likweti

Hahaa namjuaaa ..mama mwanajeshi sana yule..nakumbuka enzi hizo kuna ishengoma,makita ,mlawa ,kisenime ,ruhiye na mwanangu lisakafu...daaah pale mashine ya kupukuchua mahindi hatareeeee
 
Aaaaah machipiiiii...Naomi John wangu weee sijui uko wapi
 
Ha ha.. Me nlimaliza 2006 enzi za mama likweti..... Daah mmenikumbusha mbali.. Mwalim wangu bundala na magesa.. Enzi hizo soma soma...kinin'gina 😂😂😂😂😂
 
Hi!
Jamani naomba kwa wale wote waliosoma Ifakara sekondari

(machipi) naomba tujikumbushe baadhi mambo ya shule yetu,

1. Mihogo ya ambanjaula

2 nesi wetu wa shule mdundiko na mwingine nesi msukosuko

3 kwenda kuiba. Ndizi na mihogo kwenye mashamba ya shule na kwenda kufichama mto lumemo

4 kupalilia miraba mirefu ya mahindi Kama vile tuko jkt

5 kuvujiwa maji kwa mabweni ya Lumumba na Nkuruma maana pamoja zege lililowekwa kuvuja Kama nyumba ya nyasi vile

5.
6.
7.
Haya comrades was Cuban sec tujikumbushe name engine meeeengi yaliyojiri tukiwa skuli,,,,,,,,,,,

No 5,hiyo yameanza kuvuja lini? Mm nimemaliza 2003,tulikuwa tunaiba sana nyanya za kina mwang'ombola zen tunachanganya na maharage si utamu, kipind cha mahind ndio usipime watu fulu kuchemsha na hita na zaid pale tunapochinja ng'ombe siku hiyo prepo lazima ivurugike boys asilimia kubwa watakuwa porin kuchemsha nyama walizoiba, dah raha sana ila sintosahau siku moja tuliwazid kete viongoz wa bwalo siwataj kwa jina mana wana nyadhifa zao tuliwaibia wali wao wote waliouhifadh
 
Haha ha ndio alikuwa tulizo lako nn mida ya prepo, dar ifodha ilikuwa raha sana, Wap Sama, Ruhiye, Kisenime,

Hahaa sama mzee wa agriculture na ruhiye ..haha wote wamestaafu wanakaa kibaoni huko
 
Hahaa sama mzee wa agriculture na ruhiye ..haha wote wamestaafu wanakaa kibaoni huko

Wap mlawa yeye alikuwa anachana live ktk livestock wengine walikuwa wanaona noma kutaja viungo vya uzazi
 
Wap mlawa yeye alikuwa anachana live ktk livestock wengine walikuwa wanaona noma kutaja viungo vya uzazi

Hahaaa yupo bana kastaafu anakula pensheni tu ..yuko kibaoni pale mfugaji wa ng'ombe anapiga noti tu ..alikuwa jembe sana hule mdingi
 
Kuna mdau aliweka picha hizi za mwaka 2011. Shule imechakaa vibaya mno.
Nakumbuka TAZARA ilivyokuwa juu kipindi kile, na mabasi ya SHARUKS.
ifakara-02.PNG ifakara-01.PNG ifakara-03.PNG

USTAWI WA JAMII: Ifakara Girls High School inavyoonekana hivi sasa
 
me ni mmoja wa waanzilishi wa a-levo ifasec/machipi
 
Hahaa namjuaaa ..mama mwanajeshi sana yule..nakumbuka enzi hizo kuna ishengoma,makita ,mlawa ,kisenime ,ruhiye na mwanangu lisakafu...daaah pale mashine ya kupukuchua mahindi hatareeeee

Daaaaaah!!!!!!!!!!!!R.I.P tacher Kiyora,,,,, wapi Bifandimu????????????????
 
Mimi ilikuwa zamu yangu ya kuchunga ng'ombe lazima nikamue maziwa! Ukichanganya na upper layer unapata mix ya ajabu!
Yale maisha kweli yalikuwa mazuri!
Hivi kariakoo bado ipo??

Mi nilikuwa idara ya kazi then head girl kwenye kale kaofisi karibu na zahati ya shule basi ilikuwa ni full kujidai
 
No 5,hiyo yameanza kuvuja lini? Mm nimemaliza 2003,tulikuwa tunaiba sana nyanya za kina mwang'ombola zen tunachanganya na maharage si utamu, kipind cha mahind ndio usipime watu fulu kuchemsha na hita na zaid pale tunapochinja ng'ombe siku hiyo prepo lazima ivurugike boys asilimia kubwa watakuwa porin kuchemsha nyama walizoiba, dah raha sana ila sintosahau siku moja tuliwazid kete viongoz wa bwalo siwataj kwa jina mana wana nyadhifa zao tuliwaibia wali wao wote waliouhifadh

Mna heri nyie mlioingia pale kukiwa na umeme sisi ilikuwa ni full karoboi, akitokea mtu amekuja na taa ya chemli basi huyo ndiyo tulikuwa tunawaita mtoto wa tajiri na endapo kibatari kitapotae inakulazimu kwanza usimame katikati ya cube then utangaze kwa mkwara mzito, kisipoonekana utapita mabweni yoooote kukitafuta (Lumumba, Nkurumah, Nyerere na Castro) mabweni kuvuja changanya na kikoroboi unaamka asubuhi na moshi mweusi puani.
 
Kuna mdau aliweka picha hizi za mwaka 2011. Shule imechakaa vibaya mno.
Nakumbuka TAZARA ilivyokuwa juu kipindi kile, na mabasi ya SHARUKS.

View attachment 170640View attachment 170641View attachment 170643

USTAWI WA JAMII: Ifakara Girls High School inavyoonekana hivi sasa

JF imenikumbusha mbali sana, Nyerere, Castro, Lumumba na Nkrumah. Yuko wapo Discipline Master Mwl. Ngowi, Masesa, Makita, Ngonyani, Matola, Julius, Katawa, Ishengoma, Ruhiye, Kunambi a.k.a Ponsi n.k. Nilikuwa pale kati ya miaka ya 1994 na 1997, nakumbuka kunji lililotokea mwaka 1994 ambapo uharibifu mkubwa ulitokea ikiwemo nguruwe wote kuchomwa moto.
 
Nafikiri mama Likweti alishahama, siku hizi mkuu wa shule ni madam Chengula

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

heee chengula kumbe kala shavu?? alikua mshauri wetu wa ukwata
 
Hahaa namjuaaa ..mama mwanajeshi sana yule..nakumbuka enzi hizo kuna ishengoma,makita ,mlawa ,kisenime ,ruhiye na mwanangu lisakafu...daaah pale mashine ya kupukuchua mahindi hatareeeee

lisakafu alikua secon master baada ya mama kainja kuondoka,halafu kisenime alikua na matusiya chinicnini,ngonyani cha pombe,sabuni daaah aliondoka akaenda kusoma,malawa nae alikuwepo
 
Back
Top Bottom