Kwa wale waliosoma Ifakara sekondari

Kwa wale waliosoma Ifakara sekondari

enzi za 80s kulikuwa na mwalimu wa HESABU makini sana anaitwa BICHIGE. Alitupika vizuri sana, sijui yuko wapi nowadays>
 
enzi za 80s kulikuwa na mwalimu wa HESABU makini sana anaitwa BICHIGE. Alipika vijana vizuri sana, sijui yuko wapi nowadays>
 
enzi za 80s kulikuwa na mwalimu wa HESABU makini sana anaitwa BICHIGE. Alipika vijana vizuri sana, sijui yuko wapi nowadays>

Enzi zetu tulikuwa na teacher wa mathematic MAKITA yaani yule mmbaba moyo wangu hautaki kusahau diye aliyenifanya nishuke daraja, alikuwa mzuri kama umemuelewa na kama hujamuelewa anakuacha moja kwa moja, alikuwa mkali kama pilipili, mpaka tukawa tunajiuliza hata mke sijui alimtongozaje,,,,,,,
 
Back
Top Bottom