😊😊😊 Samahani kwa wale wenye mrengo wa kushoto, wanaofurahia nyuzi za maumivu kila wakati, kama tuletavyo masaibu yetu basi upande wa pili huwa kuna chembechembe za raha.
Unajisikiaje wewe unayependa na kurudishiwa upendo saa hii!!
😊😊mi nimesahau Corona eti.
Najisikia kupendelewa.
Moyo unapigapiga kwa upendo💋💋💋
Unajisikiaje wewe unayependa na kurudishiwa upendo saa hii!!
😊😊mi nimesahau Corona eti.
Najisikia kupendelewa.
Moyo unapigapiga kwa upendo💋💋💋
