6 hours
Nusu saa tu kama umefungua koki hadi mwisho lakini kama umeilegeza tu basi ndo masaa 6 hayo wanayoyataja
Bomba linaloingiza maji kwenye Pipa (inlet) likifunguliwa, linachukua masaa mawili mpaka pipa linajaa.
Na lingine linalotoa Maji (outlet) kwenye pipa hilohilo kupeleka kwengine likifunguliwa linachukua masaa matatu kumaliza maji yote ya kwenye hilo pipa.
Sasa basi endapo pipa ni tupu kisha kwa wakati mmoja yakafunguliwa mabomba yote mawili, la kujaza Maji na la kutoa Maji, hilo pipa litakuja kujaa baada ya muda gani?

Hahahahahahahahaaa! dah wewe ndo umemaliza kabisaNusu saa tu kama umefungua koki hadi mwisho lakini kama umeilegeza tu basi ndo masaa 6 hayo wanayoyataja
Mkuu,Sijui hesabu natizama tu watu wanavyokokotoa labda naweza nikajifunza njia