Kwa wale wakali wa hesabu na chemsha bongo

Hii chemsha Bongo inahamasisha matumizi mabaya ya maji, yaani ujaze maji kwenye pipa halafu uyamwage kisa unataka kuchemsha bongo?

DAWASCO, bring back our water.....

Ha ha ha,
 
Mkuu,
Hii haihusu hesabu moja kwa moja, hii ni uhalisia tu na practices za Nyumbani. Kwani pipa, ndoo au tank si unalijua?

Basi iweke hii fumbo into real practice na ufanye ukokotozi

Nimeona watu wanakokotoa ndo maana nikajiweka kando na hata heading inasema wakali wa hesabu.

Binafsi jibu langu mimi bila kukokotoa hakuna pipa litakalojaa kwani maji yanaingia na kutoka kwa wakati mmoja hivyo hakuna kujaa hapo
 
Lakini bomba linaloingiza Maji ni kubwa au lina Speed kubwa kuliko la kutoa, na ndio maana lenyewe linachukua muda mchache kujaza Maji.

Hivyo yanaingia mengi lakini yanatoka kidogo!!
 
Back
Top Bottom