Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,459
- 29,153
Bomba linaloingiza maji kwenye Pipa (inlet) likifunguliwa, linachukua masaa mawili mpaka pipa linajaa.
Na lingine linalotoa Maji (outlet) kwenye pipa hilohilo kupeleka kwengine likifunguliwa linachukua masaa matatu kumaliza maji yote ya kwenye hilo pipa.
Sasa basi endapo pipa ni tupu kisha kwa wakati mmoja yakafunguliwa mabomba yote mawili, la kujaza Maji na la kutoa Maji, hilo pipa litakuja kujaa baada ya muda gani?