Kwa wale wakali wa hesabu na chemsha bongo

Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
29,423
29,084
Bomba linaloingiza maji kwenye Pipa (inlet) likifunguliwa, linachukua masaa mawili mpaka pipa linajaa.

Na lingine linalotoa Maji (outlet) kwenye pipa hilohilo kupeleka kwengine likifunguliwa linachukua masaa matatu kumaliza maji yote ya kwenye hilo pipa.

Sasa basi endapo pipa ni tupu kisha kwa wakati mmoja yakafunguliwa mabomba yote mawili, la kujaza Maji na la kutoa Maji, hilo pipa litakuja kujaa baada ya muda gani?
 
Kwa kawaida pipa lina ujazo wa 200lts
İkiwa inlet 2hrs inajaza 200lts, outlet 3hrs, outlet kwa muda wa 2hrs itakuwa imetoa 133.3lts
Kwa hivyo in 2hrs zitabak ~66.7lts
2hrs...... 66.7lts
x......... 200lts
= 5.99 ~ 6hrs
 
Masaa sita ka wengine walivosema...Njia nliyotumia

nimeformulate kwa kuweka assumption kua total volume ni 10cm3; hapa unaweza ukaweka any variable u like
then rate ya inlet ni 10/2 (cm3/hr) afu ya outlet ni 10/2(cm3/hr) sasa ili kupata volume manake unachukua hiyo rate x time(in hours)...

Nikaweka formula kua TotalVolume = (RateofInlet x time) - (RateOfoutlet x time)

10 = 10t/2 - 10t/3 ukisolve hapo utapata t = 6hours.....
 
Bomba linaloingiza maji kwenye Pipa (inlet) likifunguliwa, linachukua masaa mawili mpaka pipa linajaa.

Na lingine linalotoa Maji (outlet) kwenye pipa hilohilo kupeleka kwengine likifunguliwa linachukua masaa matatu kumaliza maji yote ya kwenye hilo pipa.

Sasa basi endapo pipa ni tupu kisha kwa wakati mmoja yakafunguliwa mabomba yote mawili, la kujaza Maji na la kutoa Maji, hilo pipa litakuja kujaa baada ya muda gani?

Solution
A1V1 = A2V2
But A1=A2
V1=V2
ButV=L/t
L1/t1=L2/t2
Where L1=2L,t1=2hrs
L2=L, t2=3hrs
2Lt*=L*3*4
2t=12
t=6hrs
∆time=6hrs
 
Bomba linaloingiza maji kwenye Pipa (inlet) likifunguliwa, linachukua masaa mawili mpaka pipa linajaa.

Na lingine linalotoa Maji (outlet) kwenye pipa hilohilo kupeleka kwengine likifunguliwa linachukua masaa matatu kumaliza maji yote ya kwenye hilo pipa.

Sasa basi endapo pipa ni tupu kisha kwa wakati mmoja yakafunguliwa mabomba yote mawili, la kujaza Maji na la kutoa Maji, hilo pipa litakuja kujaa baada ya muda gani?

Check solution hii simple
 
Attachments

  • 1418018409454.jpg
    1418018409454.jpg
    42.9 KB · Views: 336
Lets call our Tank T. Therefore Tap can fill 1/2 of the tank in one hour while Tap B will empty 1/3 of the tank in one hour. I hope mnajua nimefika hapo. Kama anatumia masaa matatu kujaza tank T then one hour ataweka ujazo wa 1/3 wa tank T. Kwahi tunataka tu na tank lilijaa. 1hr= 1/2T-1/3T
1hr=1/6T.
6hrs=T.

Rahisi sana ha ha ha ha ha
 
Hii chemsha Bongo inahamasisha matumizi mabaya ya maji, yaani ujaze maji kwenye pipa halafu uyamwage kisa unataka kuchemsha bongo?

DAWASCO, bring back our water.....
 
  • Thanks
Reactions: 911
Sijui hesabu natizama tu watu wanavyokokotoa labda naweza nikajifunza njia
Mkuu,
Hii haihusu hesabu moja kwa moja, hii ni uhalisia tu na practices za Nyumbani. Kwani pipa, ndoo au tank si unalijua?

Basi iweke hii fumbo into real practice na ufanye ukokotozi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom