Kwa wale wadua wa 24Hours na Nikita

Kwa wale wadua wa 24Hours na Nikita

Zeddicus Zu'l Zorander

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
804
Reaction score
956
Kwenye hizi series kuna watu ambao ni wakali kwenye upande wa computer, Birkhoff(Nikita) na Chloe(24hrs) , we unadhani nani ni mkali?
Mi kwa maoni yangu nadhani Birkhoff ni mkali hasa linapokuja suala zima la kuhack computer system za taasisi mbalimbali...
 
Birkhoff ni noooma ,ila da alikula kipondo sana baada ya kukamatwa na division.
Lakini hawa jamaani wasanii wa kweli maana unaweza kudhani kuwa wanajua kweli.
 
Cloe mi namkubali sana yule dada,she iz smart n siriaz! For me Cloe iz the best
 
Kwenye hizi series kuna watu ambao ni wakali kwenye upande wa computer, Birkhoff(Nikita) na Chloe(24hrs) , we unadhani nani ni mkali?
Mi kwa maoni yangu nadhani Birkhoff ni mkali hasa linapokuja suala zima la kuhack computer system za taasisi mbalimbali...

Kweli dunia iinaenda ukingoni,
Kwa hiyo Birhoff ana-hack sana na ndo mkali wa computer system? Ku-hack system ni criminal, inauwaje anasiifiwa wa kkufanya criiminals?
 
O'brian uploadfromtaptalk1367791421982.jpg
 
jamen hizo ni action tu.. Hata mie ukinipa script nacheza then mtakuja hapa na kunisifia kwamba mie mkale..
 
cloe balaa, hv ukiacha hzo series mbili, kuna series gani nyingine zilizo kama hizo????
 
Cloe yuko safi japo sijaangalia sana huyo wa Nikita
 
nyie acheni utani bana...CHLOE kichwa kile...kama mambo ya kuhack mbona amefanya sana tu dada yule tatizo la Birkoff yeye alikuwa sana kwenye mambo ya hacking kwa sana ila chloe alizidisha ...na kumbuka huwezi kumtaja Chloe bila MORRIS..maana ye ndo alimfundisha chloe mambo mengi na kuina vitu chloe alikuwa hajui ikabidi aletwe Morris..sjui kama mnakumbuka..
 
Back
Top Bottom