Kwa wale wadua wa 24Hours na Nikita

Kwa wale wadua wa 24Hours na Nikita

ALIAS imekwisha, iliishia season 5 end game.
STRIKE BACK ipo mpaka season 3
HOMELAND ipo season 2
PERSON OF INTEREST ipo season 3
MISSING imepigwa total ban na FBI haitatoka tena.
UNDERCOVER ipo season 2

aisee usiniambie MISSING wameifungia, dah hii series ilikuwa kali sana
 
aisee usiniambie MISSING wameifungia, dah hii series ilikuwa kali sana

Yeah mkubwa, ile ishakula total ban, FBI walishtuka story za ndani inasemekana ilikuwa muendelezo wa ile series ya TRAVELER kama unaikumbuka nay FBI waliipiga ban mwaka juzi, na matukio yake bado yapo kisasa zaidi sasa ikaonekana itawaumbua kwa baadaye. Although directors wanasema ilikuwa na ratings chache kitu ambacho si ukweli.
 
sijui Chloe atakuwepo humu ndani
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1368771889291.jpg
    uploadfromtaptalk1368771889291.jpg
    14.8 KB · Views: 62
Yeah mkubwa, ile ishakula total ban, FBI walishtuka story za ndani inasemekana ilikuwa muendelezo wa ile series ya TRAVELER kama unaikumbuka nay FBI waliipiga ban mwaka juzi, na matukio yake bado yapo kisasa zaidi sasa ikaonekana itawaumbua kwa baadaye. Although directors wanasema ilikuwa na ratings chache kitu ambacho si ukweli.

dah kweli yale yale ya TRAVELLER afu zote ni series kali sana, ila kuna mdau aliniambia waandaaji wa TRAVELLER walienda mahakamani kupinga kufungiwa kwa tv show yao sa sijui hizi habari zilikuwa na ukweli
 
Nakumbuka hawakushinda ndo wakajaribu kutoka kivingine kwenye MISSING, naona napo FBI wamewashtukia although wao walikuwa wakifanya nyuma ya muwamvuli wa madirectors tofauti.
 
Nakumbuka hawakushinda ndo wakajaribu kutoka kivingine kwenye MISSING, naona napo FBI wamewashtukia although wao walikuwa wakifanya nyuma ya muwamvuli wa madirectors tofauti.

duh aisee hii kitu imeniumiza sana MISSING niliipenda sana, vp kuhusu THE EVENT
 
bado we ni underground.. Ukiendelea kuangalia utaidhalau prison break mkuu.. Cheki The EVENT

Kama Prison Break inaweza kuonekana ya kipuuz mbele ya movie nyingine basi duniani kuna watu wana akili sana na wanaumiza sana vichwa muanfika story na kuandaa movie..ngoja niitafute hiyo event
 
Hizo kweli ni kali ila kuna kitu ingine balaa zaidi inaitwa homeland...itafute uone uhondo wake

Homeland ni nzuri lakini nahisi inaitaji uvumilivu sana kuiangilia kwa sababu pia ni stori kwa sana...,
Kwa wale wapenzi wa Sci- fi series kuna moja inaitwa 'V' pia ni ya ukweli..
 
sasa kwa yeyote anayejua series zenye watu kama hawa wanaofanya mambo kama haya atusaidie bac japo majina
my self nazijua NIKITA,24,LEVERAGE,KNIGHT RIDER,CONTIUUM
 
Back
Top Bottom