KakaKiiza
Platinum Member
- Feb 16, 2010
- 11,952
- 9,469
Haijalishi kama ni maigizo wala nini sisi tumechukua uhalisia wa picha kama una vyoonyesha nasisitumeivaa picha kwahiyo tunaona Cloe Ob'rian is great!!Na bila ya ubishi unaambiwa waliocheza film ya 24hrs ni computer wizard ni IT professionals!Pili ku hack katika security insistitue ni kitu cha msingi kama fbi,cia nk hawawezi kufanyakazi bila ku Hack!Kwanza huyu mdada Cloe Ob'rian ninomajamen hizo ni action tu.. Hata mie ukinipa script nacheza then mtakuja hapa na kunisifia kwamba mie mkale..

