Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
Sijui ni kigezo kipi kimetumiaka kuandika hii maada hapa, hebu acheni porojo leteni vitu vya maana hivi vingine mnaweza kupeleka kule chit chat vinafaa sana
jamen hizo ni action tu.. Hata mie ukinipa script nacheza then mtakuja hapa na kunisifia kwamba mie mkale..
Huwezi amini nimeishia Rais yule Taylor anamwambia Jack atoroke nae anafanya mpango wa kujiuzulu,natafuta inapoendelea mkuu Luno,kama una sehemu unafahamu naweza pata inayoendelea nijuze.Yeah nakumbuka kuna sehemu alimcholesha Jack ili mkewe adifunguliwe mashitaka ya uhaini kipindi hiko Chloe ana mtoto mdogo Joseph
O'brian
Pale ndo mwisho wa 24 jb na Kina ray na johari wanajiandaa kuendelezea pale ilipoishiaHuwezi amini nimeishia Rais yule Taylor anamwambia Jack atoroke nae anafanya mpango wa kujiuzulu,natafuta inapoendelea mkuu Luno,kama una sehemu unafahamu naweza pata inayoendelea nijuze.
Huwezi amini nimeishia Rais yule Taylor anamwambia Jack atoroke nae anafanya mpango wa kujiuzulu,natafuta inapoendelea mkuu Luno,kama una sehemu unafahamu naweza pata inayoendelea nijuze.
Pale ndo mwisho wa 24 jb na Kina ray na johari wanajiandaa kuendelezea pale ilipoishia
usichezee chloe kabisa yani.....huo moto wa kuotea mbali, ukisogea tu, unakuunguza.....chloe anaweza hack kompyuta yako kwa kutumia simu ya mezani...dadadeki
Bongo movie hata wafe wafufuke hawawezi kutengeneza mambo kama yale.Pale ndo mwisho wa 24 jb na Kina ray na johari wanajiandaa kuendelezea pale ilipoishia