Kwa wale wachepukaji tu

Sababu zipo mkuu ndio mana watu wanachepuka, kutoridhika, ukorofi wa mmoja wao, wivu uliopindukia, tamaa, pesa, ugomvi, ulevi, uaminifu nk.
Hizo zote ni sababu zinazoweza kufanya wapenz wakasalitiana.

Kuna kipindi huwa mnatafuta sababu na ukishaji tune kucheat lazima utayatambua makosa ya mwenzio haraka sana sasa kitakachofuata ni kwenda ulipopataka na kumkomesha tambua once ukichafanya hivo life will never be the same again..... ndoa za wazazi wetu zimedumu kwasababu waliweza kuvumiliana yote.
 
Ukweli ni kwamba mwanamke anaweza kuendeleza uhusiano wa kimapenzi na namwanaume ambaye ana dushe ndogo (kibamia) na asiyemridhisha kabisa kwa kitu chochote, provided that mwanaume huyu ataweza kutatua matatizo yake makubwa yanayomkabili kw akipindi kile, mfano matatizo ya kiuchumi, labda mwanamume ni mtulivu sana au mpole kwelikweli kiasi kwamba hambugudhi bidada kwa lolote n.k. Hilo linawezekana kabisa kwa wanawake, na limekua likitokea sana. kwahiyo "haweza ku-do" hilo halitoshi kumfanya mwanamke ashindwe kuendeleza uhusiano na mwanaume anayemwona analipa vya kutosha kwenye vipengele vingine vya maslahi binafsi.
 


Hawezi ku-do, anakojoa haraka, dushe yake ndogo, ni maneno wanawake hutumia mara nyingi kudhalilisha upande wa pili na kuhalalisha kwanini walicheat pindi wakiulizwa yakiwemo mengine hanijali, mkali, anacheat, mgomvi ana roho mbaya lakini ukweli mapenzi na kuridhisha mwanamke hayajalishi size kinachojalishwa ni satisfaction katika mapenzi study ya Havard University katika psychology ya mapenzi inasema kuwa mwanamke akikupenda hata ukimuwekea kidole ukeni atakojoa na mapenzi kuwa motomoto hayahitaji masaa matatu, mapenzi kuanzia dakika 10 mpaka nusu saa yanatosha kabisa hiyo ni study sio mimi nendeni mkagoogle criticts. Mkuu mie sijasema ukubwa wa dushelele na udogo wa dushelele ndio hukeep mahusiano nimesema sababu ambazo wanawake hubeza kwanza huanza na kuwa hanirizishi, hanijali, anacheat, dushe yake ndogo, anakojoa haraka, gari lake kuwaka mpaka lisukumwe haya ni maneno wanawake hupenda sana kutumia kudhalilisha wanaume wao na kuhalalisha kwanini alicheat badala tu ya kusema ni tamaa hawataki hiyo wanataka kuweka negativity upande wa pili ili kuonyesha kwanini alicheat jambo ambalo mara nyingi si kweli bali huwa ni tamaa tu ya sexual infidelity
 
Well said mkuu bt ume base sana kwa wanawake ningetamani kuonja upande wa wanaume pia.


Filomena, ukweli wanaume mara nyingi hawakandii sexual organs akicheat ikitokea ana mke au mpenzi na yule mwanamke wa nje akamuuliza kwanini yuko na yeye na ana mke au mpenzi wake? Mara nyingi wanaume hukwepa kujibu akilazimishwa sana hutaja mambo ya kijamii kudemonize partiner wake mfano aaa yule mwanamke hatuendani hapendi kutoka mie napenda kutoka, mshamba, hatuendani, mkorofi akiona naongea na wanawake lol ataleta fujo, ana wivu sana kupita kiasi, hajui kuvaa kila nikimfundisha hataki naona kama ananiabisha nawish nisingeoa mapema maana naona wewe Bintimzuri tunaendana sana lakini hatasema ana **** kubwa, hajui ku-do, ananuka uchi, hakojoi haraka maana wanaume hawapendi kuattack wenza wao sexually shambulio kubwa mwanaume anaweza kulifanya kwa mkewe au mpenzi wake kumwambia hawala yake ni kusema partiner wake ni mchafu hiyo kauli inabeba kila kitu. Lakini mwanamke akiwa kaolewa au anajamaa na anacheat na jamaa mwingine ikatokea jamaa akamuuliza wanawake hupenda kuattack sexually kwa kusema jamaa hanirizishi, anapiga push up mbili ya tatu wazungu hao, ana dushelele kusimama mpaka isukumwe, ana dushe ndogo nikikohoa inatoka hii ya dushe ndogo na kukojoa haraka hutumika sana pia iwapo kumetokea break up mwanamke anaanza kupakaza kudemonize mwanaume kuwa hana thamani yeyote. Wanawake kundi la pili hawa huwa ni wastaraabu watasema jamaa hanijali, mgomvi, hanipendi siku hizi kama zamani, anacheat na wanawake wengine hawa ni wale wastraaabu
 

İnawezekana unaweza ukawa unasema kweli. Lakini mimi kwa uzoefu wangu wa zaidi ya miaka kumi ya uchepukaji uliotukuka, sijawahi kumsema mke wangu vibaya. kosa kubwa atakalofanya mchepukaji mwenzangu ni kuuliza habari za mke wangu. Mara nyingi anayemuulizia ndo unakuwa mwanzo wa talaka.

Tumekuja kuchepuka kivyetu, mke wangu ataingiaje hapo?

nawatakieni michepuko myema isiyo na mafumanizi. Chepukeni responsibly, ukimwi upo, hauna tiba na unaua.

Wasalaam,

ODM.
Mwenyekiti wa wachepukaji,
Bazazi Street,
Dsm.

NB... İbilisi asaidie hii post isisomwe na Khantwe

çc Kaizer, Mentor, Vin Diesel, KakaKiiza, Nicas Mtei kwa taarifa na kumbukumbu za chama.
 
Last edited by a moderator:

Kula like mkuu
 

Mkuu Asprin hujatupa sababu mojawapo ya kwann unachepuka, ndio hoja iliyoko mezani.
 
Last edited by a moderator:
Wakuu ina maana humu hamna wachepukaji? Maana naona mnatoa sababu za kuchepuka, ni sawa lkn mm mtoa mada nililenga zaidi wale wanaocheat au waliowah kucheat watoe sababu zao binafsi kwann walicheat.
 

ungeanza na sababu za wewe kuchepuka. haya ndo mambo ya kibanzi na boriti
 


Nashukuru mwenyekiti Asprin kwa kuweka kumbukumbu sawa...hadhi ya mke iheshimiwe muda wote...wakati wowote..
 
Last edited by a moderator:
Kuna vitu vingi vya kuzingatia kwanza demu ulimpata katika mazingira yapi moja hivyo ukiona demu mwingine akakushawishi ni lazima uchepuke pili inategeme huo mchepuko mko katika mazingira yapi pengine mpo mfindi na kuna uwezekano wa kuchepuka inabidi sasa mfanye hivyo ila sasa huo mchepuko unaweza ukawa umejizatiti kuteka kambi ukajikuta unahamia!
 
Ushindwe vyama vyote nimejivua gamba!Bwana awe nasi sema Amen.Bazazi mkuu!
 

"Kupata UKIMWI hadi ulogwe" - Mentor
 
Last edited by a moderator:
some text is missing
 

Now nimeelewa sana.. thanx bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…