Kwa wale tunaoishi Dar es Salaam tu

Kwa wale tunaoishi Dar es Salaam tu

Yaani ungeniona, na vile viatu hadi navikumbuka..ugeni shida sana..muulize Tyta kama ile picha yangu bado anayo

hahahahaha Tyta do the needful pls
but utafiti ikikosekana utaniwekea ya sasa eeweh
 
Last edited by a moderator:
Aah wapi tena simsalimii mtu, na mawani ya black kabisa ili usinione mgeni

hahahahahaha aiseeeeee sipati picha

Yaani ungeniona, na vile viatu hadi navikumbuka..ugeni shida sana..muulize Tyta kama ile picha yangu bado anayo

hahahahaha Tyta do the needful pls
but utafiti ikikosekana utaniwekea ya sasa eeweh

ur wish granted miss neddy

303447_378315905612063_1928120215_n.jpg
 
Aghakan ya ocean road ilianzishwa lini? Maana nakumbuka mwaka 98 nilishiliki ujenzi pale sasa sijui unaizungumzia ipi.

labda ukarabati....mimi nilikuwa natibiwa aga khan nikiwa mdogo sana hio 98 nishakuwa mkuubwa napiga box!!!!
 
labda ukarabati....mimi nilikuwa natibiwa aga khan nikiwa mdogo sana hio 98 nishakuwa mkuubwa napiga box!!!!
Hata Mie naona alikuwa anakarabati Agha khan ipo toka magomeni ndio ikienda Mbele pori la simba huko mikocheni mikorosho na TMJ bonde la mpunga.
 
Hata Mie naona alikuwa anakarabati Agha khan ipo toka magomeni ndio ikienda Mbele pori la simba huko mikocheni mikorosho na TMJ bonde la mpunga.

au atakuwa anazungumzia ile new wing inayoface bahari directly....lakini hospitali kama hospitali ilikuwa pale tangu lini sijui.
 
Back
Top Bottom