Na wale waliozaliwa agha khan overlookin' indian ocean wajiiteje?,kulikuwa hamna kadi ya bima ya afya pale,ni mwendo wa cash.i envy ma papa!!!!!
Kimeeleweka nini!? Subirini mswada wa mashoga upitishwe kwani utaanza kwa majaribio huko Dar es salaam mnakojidai mnaenda na wakati.wakuu ebu
tukumbushane, wale tuliotokea mikoani na kuhamia dar...je ulikuja dar
kwa usafiri gani?? ulifikia kwa nani?? vipi experience yako ndani ya
mwezi mmoja?? NIni kilikushangaza sana??
mi nakumbuka nilipokuja mwaka 1990, nilipanda gari ya mizigo
kutokea mwanza, tulitumia siku tatu, baada ya kusimama singida na
dodoma. nilishangaa sana kuona nyumba karibu zote zina umeme, hata kwa
shangazi nilipofikia. balabala ya kawawa na al hassani mwinyi zilikua
single road.
JOTO lilinifanya nilale uchi wa mnyama, niliapa sitorudi kijijini mpaka
kieleweke..hatimaye kimeeleweka
nipe experience zenu wakuu
This is how we learn how to post!
Ulilala uchi wa mnyama? mkuu mitego hiyo na ulielala naye.
Wengine tulifika kipindi stendi iko kisutu..
sasa hapa nashindwa namna ya kurekebisha
balabala ya kawawa na al hassani mwinyi zilikua single
sasa zimeolewa
Wengine tumefikia mjini kabisa tena pazuri kuliko kote (Posta)
Wewe utafiti, postaaaaaaa?
enheeeee natega sikio baada ya kufika ikawaje