Kina Mzee Mangara umemsahau kina Bibi Titi ndio Kampa utajiri Bakharesa na Kumuuzia jengo like Kariakoo na ndio muanzilishi wa Young African watu watasema CCM au Nyerere basi. Mzee Mangara ndio Wazee wa DSM hao ndio wakupewa majina barabarani sio waserikalini.Siwezi kukujibu kwakuwa wewe ni wakuja hapa mjini,huo mwaka ambao wewe ulikuwa kibarua pale ilikuwa ni renovation.duuh hili jiji kweli limevamiwa,namkumbuka marehemu ditopile na mzee kitwana kondo sasa.
Hahahahaha umenikubali eeeeh