Kwa wale ndugu zangu wa Iringa

nimecheka sana hiyo picha ya pili kama kabeba mgonjwa vile,hahahaaaaaaaa
 
Mtuwacheeeeeeeeee!!

Aaagh,

Weka na za wachina basi!
 
Hiki kitoweo wanakiheshimu mno ndugu zangu wahehe

mshana jr kuna eneo moja niliwahi fika kule na kufuatilia hizi habari na kweli zilikuwepo kwa wingi sana ila kwa sasa ni watu wachache mno,pia nilipata kuambiwa kuwa kuna baadhi ya maeneo walikuwa wanakula hadi paka.
Nilistaajabu sana aisee
 
Last edited by a moderator:

Watakuwa na vinasaba na wachina hawa
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya kilolo na kidodi hayo, kamwene na mnogage! He! he! heeee! wanyalu mpoo?! wanakula mpaka mavi ya mbuzi, kichuri!
 
ha ha ha ninavyoogopa mbwa siwezi hata kumsogelea wengine ndio wanabeba mgongoni
 
Hahaaa hebu muwawache wapumue hawa majirani zangu. Namshukuru Mungu tumegawana mikoa....enzi hizo ukisema natokea Iringa utasikia ndo ninyi mnakula mbwa? Aaargh.....nilikuwa nakereka kweli
 
watu wa njombe wanajulikana tu
 
Hahaaa hebu muwawache wapumue hawa majirani zangu. Namshukuru Mungu tumegawana mikoa....enzi hizo ukisema natokea Iringa utasikia ndo ninyi mnakula mbwa? Aaargh.....nilikuwa nakereka kweli

Khantwe pole sana kumbe ulikuwa unakereka eeeh,Hapo Nj ni kwaraha zenu mwendo wa nyama choma
 
Last edited by a moderator:
mshana jr kuna eneo moja niliwahi fika kule na kufuatilia hizi habari na kweli zilikuwepo kwa wingi sana ila kwa sasa ni watu wachache mno,pia nilipata kuambiwa kuwa kuna baadhi ya maeneo walikuwa wanakula hadi paka.
Nilistaajabu sana aisee

Wanachonifurahisha Zaidi Ni Kwamba Dada Zetu wa Huu Mkoa Hawakupi KIGEGEDO a.k.a PAPUCHI Hadi Umpige Mtama Na Wamenipa Sana Makovu Ya Ugoko na Magotini. Unatakiwa Ufanye Kama Vile Wale Wacheza SUMO!
 
hahahahaaa niangusage....!!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…