jmour
Member
- May 12, 2019
- 82
- 26
Shenzi ukajua ni kuvuruga topedah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
Shenzi ukajua ni kuvuruga topedah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
Hahahadah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
Km mie nimerudi kwenye mwanzo nakuta ya miaka kibao aisee akili za kijinga hiziKichwa cha habari Kimenileta mbio
🤣🤣🤣🤣🤣Hatari sana nimefungua uzi harakaKm mie nimerudi kwenye mwanzo nakuta ya miaka kibao aisee akili za kijinga hizi
Hatari sana nimefungua uzi haraka
Hahahhaa eeehMambo ya pwaani ,
Unayependa sana?dah mkuu....ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke......kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.....
Duuh aisee ninavyopenda mishkaki sijui kama wamenikosaAsante sana kwa taarifa
Sitaki tena mishikaki dah kwa style hii nahisi hata Bongo imeshaingia
Ebola bado Iponjoo kwetu Idweli uonje mishikaki ya popo
BbEbola bado Ipo
Mkuu; Kwani nyama ya mbwa sio chakula? Rejea enzi za Tanangozi - Tuliokula tupo hapa na tunachangia threads. Wee vp??Biashara ya mishkaki mitaa ya Mama Ngina Drive, Likoni Ferry, nasikia mateja washafanya mbwa kua dili
afu wanawauzia watu eti ni mishkaki. Kudadeki!
Msiseme sikuwahabarisha.
Mimi nilijua ni buza kwa mpalangeDah mkuu, ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke, kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.
haf wee dogo weye unaniudhi ujue!Dah mkuu, ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke, kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.
me mwnyw nkajua mamb pamb kumb mamb hayoDah mkuu, ulivyosema mambo ya Mombasa nilivyokuja mbio kidogo nitenguke, kumbe mambo ya Mombasa yapo mengi.