zote poa isipokuwa liverpool..
comfort pale napovipi! au chenga
Nashangaaa kwanini ameitaja hiyo.
bwana weeee,our team,hata Aljaeera jina linachafua status ya channel,bora waite TBC1 for aljazeera and Man utd for LiverpoolOoh!! Umenikumbusha hii kidogo nitaapike wale ni majanga na balaa.Sana sana wanachafua jina la timu ya watu.
mwezi uliopita nikiwa natoka Moshi abiria wote tuligoma kushuka pale kwa ajili kula hivyo dereva kwa hasira alipiga gia mpka Dar bila kusimama hoteli nyingine kwa mlo.
ni hatari mkuu, unaweza
kujikuta unaendesha njia nzima! lakini kuna watu wanakula njiani mpaka
unashangaa, kila anachoona mbele yake ye anatafuna, gari ikisimama
atanunua chipsi, kuku, mikachumbari, vitu gani sjui ye anafakamia
tu...loh! huenda tunatofautiana kinga huko tumboni..lol!
ha ha ha ha haaa,madereva wana kamishen,sasa alikasirika kwa kukosa kamisheni
wanaboa sana,tena ukiwa umekaa nae siti moja,wanakulakula hovyo tu,siwapendi watu wa hivyo,mimi nikitoka dar kwenda kigoma,nakula KAHAMA,tunapolala,then KIGOMA mwisho wa safari
ahaaa acha tu yaani pesa zetu halafu atupangie hotel ya kula, ndo wanijuza sasa kuwa kuna kamisheni waipatayo mimi nilidhani ni kula bure pekee maana tulimuambia kama kula tutamnunulia asiwe na shaka lakini wapi kakajaga mafuta mwanzo mwisho.
dah, tena mkuu umenikumbusha, hivi dar kigoma unatumia siku ngapi kwa basi? na ikishaacha barabara kuu ya kwenda kwa jirani zetu kuna lami kweli kuelekea kigoma mkuu? aisee hii nchi ngumu sana, safari za treni ni za muhimu sana kwa umbali ule!
mwezi uliopita nikiwa natoka Moshi abiria wote tuligoma kushuka pale kwa ajili kula hivyo dereva kwa hasira alipiga gia mpka Dar bila kusimama hoteli nyingine kwa mlo.
sio tu kula bure,ila dereva hupewa kamisheni(pesa) aidha kwa siku au kwa mwezi,suala la abiria wale wapi ni la dereva si tajiri,unless tajiri wa basi awe anamiliki hiyo hotel au ana uhusiano wa kirafiki/kindugu na mmiliki wa hotel,ila madereva wana neema sana
comfort pale napovipi! au chenga