Kwa wale mnaopenda kula hotel ya Aljazeera

Nashangaaa kwanini ameitaja hiyo.

mwezi uliopita nikiwa natoka Moshi abiria wote tuligoma kushuka pale kwa ajili kula hivyo dereva kwa hasira alipiga gia mpka Dar bila kusimama hoteli nyingine kwa mlo.
 
Kuna cku tulinunua take away chips kuku aljazira nikiwa na brother wangu. Mwenzangu ktkt ya chips kakutana na nywele. Mimi nikakutana na bawa la mende. Hapafai
 
mwezi uliopita nikiwa natoka Moshi abiria wote tuligoma kushuka pale kwa ajili kula hivyo dereva kwa hasira alipiga gia mpka Dar bila kusimama hoteli nyingine kwa mlo.

ha ha ha ha haaa,madereva wana kamishen,sasa alikasirika kwa kukosa kamisheni
 
ni hatari mkuu, unaweza
kujikuta unaendesha njia nzima! lakini kuna watu wanakula njiani mpaka
unashangaa, kila anachoona mbele yake ye anatafuna, gari ikisimama
atanunua chipsi, kuku, mikachumbari, vitu gani sjui ye anafakamia
tu...loh! huenda tunatofautiana kinga huko tumboni..lol!

kuna watu matumbo yetu yana maspeshalist wa afya ndani kwa ndani wanapiga kazi mkuu
 
Na pale porini tunaposimama kuchimba dawa kabla hujaanza kuingia mbuga Mikumi Morogoro zile nyama tunauhakika gani? Tusijelishwa nyama za fisi au mbwa mwitu
 
ha ha ha ha haaa,madereva wana kamishen,sasa alikasirika kwa kukosa kamisheni

ahaaa acha tu yaani pesa zetu halafu atupangie hotel ya kula, ndo wanijuza sasa kuwa kuna kamisheni waipatayo mimi nilidhani ni kula bure pekee maana tulimuambia kama kula tutamnunulia asiwe na shaka lakini wapi kakajaga mafuta mwanzo mwisho.
 
wanaboa sana,tena ukiwa umekaa nae siti moja,wanakulakula hovyo tu,siwapendi watu wa hivyo,mimi nikitoka dar kwenda kigoma,nakula KAHAMA,tunapolala,then KIGOMA mwisho wa safari
 
Kwa njia ya kaskazini kulisha "livapu" ni uzembe, lazima ujue basi ulilopanda huwa linapeleka wateja wapi!
 
wanaboa sana,tena ukiwa umekaa nae siti moja,wanakulakula hovyo tu,siwapendi watu wa hivyo,mimi nikitoka dar kwenda kigoma,nakula KAHAMA,tunapolala,then KIGOMA mwisho wa safari

dah, tena mkuu umenikumbusha, hivi dar kigoma unatumia siku ngapi kwa basi? na ikishaacha barabara kuu ya kwenda kwa jirani zetu kuna lami kweli kuelekea kigoma mkuu? aisee hii nchi ngumu sana, safari za treni ni za muhimu sana kwa umbali ule!
 
ahaaa acha tu yaani pesa zetu halafu atupangie hotel ya kula, ndo wanijuza sasa kuwa kuna kamisheni waipatayo mimi nilidhani ni kula bure pekee maana tulimuambia kama kula tutamnunulia asiwe na shaka lakini wapi kakajaga mafuta mwanzo mwisho.

sio tu kula bure,ila dereva hupewa kamisheni(pesa) aidha kwa siku au kwa mwezi,suala la abiria wale wapi ni la dereva si tajiri,unless tajiri wa basi awe anamiliki hiyo hotel au ana uhusiano wa kirafiki/kindugu na mmiliki wa hotel,ila madereva wana neema sana
 
dah, tena mkuu umenikumbusha, hivi dar kigoma unatumia siku ngapi kwa basi? na ikishaacha barabara kuu ya kwenda kwa jirani zetu kuna lami kweli kuelekea kigoma mkuu? aisee hii nchi ngumu sana, safari za treni ni za muhimu sana kwa umbali ule!

aisee treni ni shida mdau,hasa haya mabehewa ya akina kajamba nani haya balaa,si usafiri ni adhabu,me nimepanda treni ya TAZARA na hii ya reli ya kati,hao ni DUGU MOJA
 
mwezi uliopita nikiwa natoka Moshi abiria wote tuligoma kushuka pale kwa ajili kula hivyo dereva kwa hasira alipiga gia mpka Dar bila kusimama hoteli nyingine kwa mlo.

mlimnyima ujira wake wa kura bure.kwa kawaida dereva na konda wake kwenye hoteli kama hizo hula bure.hiyo ndio bakshishi yao ya kuleta wateja hotelini.
 
sio tu kula bure,ila dereva hupewa kamisheni(pesa) aidha kwa siku au kwa mwezi,suala la abiria wale wapi ni la dereva si tajiri,unless tajiri wa basi awe anamiliki hiyo hotel au ana uhusiano wa kirafiki/kindugu na mmiliki wa hotel,ila madereva wana neema sana

duuh basi heri yao..tena ilikuwa HAI EXPRESS sijui wanaubia nao..!!
 
Kula Kula vyakula vya kununua njian unaweza ona safari chungu pale uhalo wa maana utakapo kukamata, imewah nitokea ilibid nishuke njian niache gari iende tu, from that day huwa nabeba juice kubwa na biscut flani hiv za ki south biscut zna afya, ipo cku mtalishwa na paka huko njian
 
Back
Top Bottom