Nibiru
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 537
- 744
Nakuunga mkono mkuu, alitakiwa aulize mnafanyaje ili muweze kuendesha maisha, ila ukishasema mnafanyaje kupata kipato wewe sio jobless tena, labda kama alikua anazungumzia kazi za kuajirilwa.Kwa lugha rahisi unapenda kujua,
'Wha do Jobless people do for a living??