Kwa wale ambao hawajabahatika kumuona shetani!

Kwa wale ambao hawajabahatika kumuona shetani!

Senator jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2016
Posts
368
Reaction score
498
1469449699953.jpg
 
Jokes aside huyo wa kulia niliwahi kumuna mwaka 2009 mkoa fulani hivi. Siku peke yangu nilikuwa na dereva wa boda boda kuhakikisha kama nilichokiona ni sawa jamaa naye akasema ameona.
Ilikuwaje
 
Jokes aside huyo wa kulia niliwahi kumuna mwaka 2009 mkoa fulani hivi. Siku peke yangu nilikuwa na dereva wa boda boda kuhakikisha kama nilichokiona ni sawa jamaa naye akasema ameona.
Mkuu ebu maliza hii story...ilikuwaje kuwaje mpaka mkakutana na njemba hii maaana dah!
 
Huyo mbona hatishi hata nikikutana naye nampa hi mimi kuna dude nilishawahi kuliona huko sengerema kijiji kimoja kinaitwa nyamahuna aisee kuna mapango milimani huko nilichokiona mpaka leo hii nashindwa kuelezea
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom