Jimmywatanzania
JF-Expert Member
- May 8, 2015
- 514
- 275
Inakuwaje shetani atishe ili hali alikuwa malaika wa Mungu,tena mwongoza sifa?
Huyo mbona hatishi hata nikikutana naye nampa hi mimi kuna dude nilishawahi kuliona huko sengerema kijiji kimoja kinaitwa nyamahuna aisee kuna mapango milimani huko nilichokiona mpaka leo hii nashindwa kuelezea
Kutana nae afu utupe mrejesho km n mrembo km unavosema
Mbona hatishi?
Unamaanisha shetani kamwona shetani mwenzie ama?Tehtehtehtehte......nimeipenda comment yako...nikwambie kitu:......Chatu hawezi kumuona chatu mwenzake anatisha....tehtehtehtehteh....hata mbilikimo atamuona mbilikimo mwenzake ni wa kawaida....tehtehtehtehteh
Wa mwendo kasi teh teh tehHuyu shetani mpya kabisa wakisasa yani
Unamzungumzia popobawa, vipi una uzoefu nae Mkuu?SHETAI HALISI ANA JICHO MOJA TU
yanga njoo hukuUnamzungumzia popobawa, vipi una uzoefu nae Mkuu?
Halafu hawa nao!. Kiukweli mi mwili umesisimka nilisita kufungua ila ilibidi nifungue kibabe ila najiuliza mbona ni usiku inamaana shetani haonekani mchana duuh!.Haya majanga na mi napendaga kupiga mai naiti kali ndo naibuka homu mbona msala!Kumuona shetani nayo ni bahati??