Ukitaka kumuona shetani 'live' funga ndoa

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,557
21,513
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa. Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa. Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi. Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto. Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa. Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka. Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue. Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live.

Donatila
 
Ni kwel aisee
Ngoja nitoe kastory kidogo namna ndugu yetu mmoja alivyokutana na shetani live

Alikuwa na biashara zake nzuri tu kwa siku hakosi faida ya laki 2 mpaka 3

Akaoa,baadae akawa na pepo la ngono mkewe alipojua akaanza kumkomoa jamaa kwanza nae alianza kugawa kipochi manyoya mpaka vitu vya ndani kama chakula na wakati huo jamaa yupo na familia kubwa tu, maana aliwah kuwa na watoto wengi kabla ya kuoa

Jamaa akajikuta ana matumiz makubwa sana,kuna wakati mke akawa anamuibia pesa za kazi na faida zake,mara unyumba ananyimwa

Katika harakat zao za kuchepuka hatimae wakaunasa, mwanamke akaanza vuguvugu la kuvunja ndoa na akafanikiwa sjui alifanyaje yaan ile kesi ilienda haraka sana maamuz yakatoka yakuachana na wamkagawana mali mbali mbali zikiwemo na nyumba

Hyo kesi ilipoisha mwanamke kaanzisha kesi nyingine yakutaka mahitaj ya watoto watatu kila mwezi na wakati huu hali ya jamaa yetu kiuchumi ni ngumu haswa
 
Habari wakuu,

Husika na kichwa cha habari hapo juu,

Kama kuna sehemu ambapo shetani anapenda kukaa basi ni ndoa.

Yaani anakusubiria tu uingie kwenye ndoa takatifu aanze kukutesa.

Kama sio ugomvi na huyo mkeo au mumeo unayeona ni halali basi ni ngumi.

Sasa Yale ambayo ulikuwa hujui kuhusu mkeo na mumeo unayajua.

Hamna rangi ambayo utaacha ona, anaweza shika tumbo na msipate mtoto.

Akiona haitoshi anashika na uchumi ili mkome mkomae kabisa.

Mbona Bado, akikuachia huku anakimbilia kwenye tendo husika anaweka mazoea, apo unamuona mkeo kama dada yako.

Ukute Sasa amekalia zinaa ni mwanaume na mwanamke wanachepuka.

Achana na huo uchumba sugu ambao unajifanya unamchunguza mwanamke na mwanaume ili umjue.

Huwezi mjua mkeo wala mmeo.Ingia kwenye ndoa umuone shetani live...


Donatila
😄😄😄😄Mwanamke ulikuwa unamuona kama malkia,ghafla unaona unaishi na shetani,mpk unajiuliza hivi wakati namchagua huyu nilikuwa nimelogwa...
 
Back
Top Bottom