Baada ya kukaa Jamiiforums muda fulani, nimeshuhudia wadada wale wanaokaribia 30 ama wako above 30, wanaotafuta wenza wakidhihakiwa, leo nawauliza ina maana nyie mliooana mapema(mid20's) ndoa zenu ndizo zenye furaha?
Mdada aliyegonga 30, hawezi kuwa mke mwema/mama mzuri wa familia?
Ama its just your ego, hamtaki mtu atakayewashusha makofidensi?
Mdada aliyegonga 30, hawezi kuwa mke mwema/mama mzuri wa familia?
Ama its just your ego, hamtaki mtu atakayewashusha makofidensi?