Kwa wakina dada tu; Kuna nini kwa waume wa wenzenu!!!

Wadada bwana . . . . wanaombana ushosti kwa KUFANANA maandishi ya JF

CPU yatakushinda!!!
Na wewe unataka ushosti fanya ile kazi niliokwambia. Unakuwa umeshaupata huo ushosti.
 
CPU yatakushinda!!!
Na wewe unataka ushosti fanya ile kazi niliokwambia. Unakuwa umeshaupata huo ushosti.

Ha ha ha ha ha
Hata wewe kumbe huna uvumilivu eeeh? Teh teh teh
Mwanaume rijali haitwi shosti hata siku moja
 
Ha ha ha ha ha
Hata wewe kumbe huna uvumilivu eeeh? Teh teh teh
Mwanaume rijali haitwi shosti hata siku moja

Tehe teheeee
Kwani we rijali, mi nitajuaje?
Ha ha ha ha nakutania mwaya, nipe habari uko salama,
Leo utakuwa wapi baada ya kutoka kanisani?
 
Michelle yawezekana sisi ni ndugu, hebu tufanye mpango urudi nyumbani!!!
Haiwezekani ukawa unawaza na kufikiri ka ninavyotaka kufikiri........:clap2::clap2::clap2::clap2:

yaani mimi pia nilikua nawaza hivyo hivyo. Well said michele
 
Sasa hili demu linalonichukulia mimi mume wangu mbona halijui haya na ni msomi? au degree zile za chupi? khaa chalii hakuna rangi naacha ona aisee! ila mwaka huu haupiti nina mpango kabambe tehetehetehe

mnh ina maana unalijua???mbona umetulia???huogopi ukimwi?:twitch:
 
Ni ngumu kusema kwa nini wanaume waliooa wanakuwa na wanawake wengine. Sababu ya hili ni luluki kama ilivyo kwa wanawake wasiotaka ndoa bali wanaume waliooa. Kuna uhusiano wa moja kwa moja hapa kati ya hizi tabia mbili
 
:clap2:Hao akina dada wanachukua waume za watu sio kama wanamapenzi ya dhati nao, bali wengi wao wanafuata mambo fulani ya mshiko! C mnajua tena watu wazima wengi ndo wanakuwa fit ki-uchumi? Wengi wao wanazitaka fedha tu hapo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:clap2::clap2:
 
Ila jamani siku hizi kumpata kijana wa ukweli ni kazi!!!!
nahisi wapo ila kuwapata ndio inakuwa ngumu, kila mtu ukijaribu kusikiliza, unaona kasoro za kimsingi. Bahati mbaya ukiingia unakutana na yasiyosimulikana, sasa utafanyaje?
Wengine ndio wanaona bora wafanye moyo mgumu, na wao wasipende waishi maisha ya kudanganya ili mradi apate anachotaka, kuna wakati ni sex, short time company, ushauri wa kimaisha na kimaendeleo, au fedha na mtoto.

vijana wa kiume wanachelewa kumature na kuwa resposible hadi inabore!!!!
 
Sasa hili demu linalonichukulia mimi mume wangu mbona halijui haya na ni msomi? au degree zile za chupi? khaa chalii hakuna rangi naacha ona aisee! ila mwaka huu haupiti nina mpango kabambe tehetehetehe

Na wewe si utafute ka Serengeti Boy kawe kanakucheki, ili iwe ngoma droo!!
 
hao ni vicheche hawawezi kukaa na mmoja wakamtunza kama mume....wanachukua waume za watu kukwepa commitments....mume akiwa na mkewe na yeye anakuwa na uhuru wa kufanya atacho!!.....:coffee:

You sound real! Inaonekana ulishawahi kuchukuliwa "mme" - right?
 
Si nitakua naja ana mtu? so haiumi, tofauti na usilolijua mtu anakudanganya uko peke yako, kumbeeee. Vijana wansumbua sana, sikui ujana ndo unawasumbua? wanajidai... tofauti na mtu mzima n mstaarabu.
 
wote wako likely kuumiza mwanamke.......unajua wasichana wenye attitude hiyo hawapendi pia usumbufu au yale majukumu ya kuwa mke.....wanapenda uhuru wao na fact kuwa wanafanya maamuzi yao wenyewe si kwakuwa ni wajibu kufanya......wazee wanatunza pia,hawana conditions lukuki na kukuganda kwa sana pia shughli yao si kubwa kwa walio wengi,wanalinda ndoa zao kwa wale wasio kuwa na wake kwahiyo adabu debe ili usilete za kuleta kwa nyumba kubwa......Babu laooooo.......upo juu na huyo bidada wako.....:laugh::laugh:

Nakupenda sana Michelle
 
Ila jamani siku hizi kumpata kijana wa ukweli ni kazi!!!!
nahisi wapo ila kuwapata ndio inakuwa ngumu, kila mtu ukijaribu kusikiliza, unaona kasoro za kimsingi. Bahati mbaya ukiingia unakutana na yasiyosimulikana, sasa utafanyaje?
Wengine ndio wanaona bora wafanye moyo mgumu, na wao wasipende waishi maisha ya kudanganya ili mradi apate anachotaka, kuna wakati ni sex, short time company, ushauri wa kimaisha na kimaendeleo, au fedha na mtoto.

vijana wa kiume wanachelewa kumature na kuwa resposible hadi inabore!!!!

Mabinti wa siku hizi nao wako dakika mbili mbele. Matokeo yake vijana nao wanakuwa heartbroken, ila kwa kuwa mjadala unapohusisha mambo ya jinsia kila mmoja huvutia kwake na kulaumu upande wa pili.
 
Yaani watu hawako objective kabisa. Kama ni mwanaume basi atasema tatizo ni wanawake na kama ni demu basi atasema tatizo ni wanaume..........aaargh halafu mnajiita gr8 thinkers?? I think it is more like great sinkers lol.
 
are u in or out?
 
aaaaah hii ishu nami inaniumizaga kichwa sana bana... Mkikonkludi mnistue nione konklusheni
 
Si nitakua naja ana mtu? so haiumi, tofauti na usilolijua mtu anakudanganya uko peke yako, kumbeeee. Vijana wansumbua sana, sikui ujana ndo unawasumbua? wanajidai... tofauti na mtu mzima n mstaarabu.

Baelezee hao, mi vijana mbanu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom