Kwa wakina dada tu; Kuna nini kwa waume wa wenzenu!!!

eeh kumbe wankwepa majukumu eti
hao ni vicheche hawawezi kukaa na mmoja wakamtunza kama mume....wanachukua waume za watu kukwepa commitments....mume akiwa na mkewe na yeye anakuwa na uhuru wa kufanya atacho!!.....:coffee:
 
Ila jamani siku hizi kumpata kijana wa ukweli ni kazi!!!!
nahisi wapo ila kuwapata ndio inakuwa ngumu, kila mtu ukijaribu kusikiliza, unaona kasoro za kimsingi. Bahati mbaya ukiingia unakutana na yasiyosimulikana, sasa utafanyaje?
Wengine ndio wanaona bora wafanye moyo mgumu, na wao wasipende waishi maisha ya kudanganya ili mradi apate anachotaka, kuna wakati ni sex, short time company, ushauri wa kimaisha na kimaendeleo, au fedha na mtoto.

vijana wa kiume wanachelewa kumature na kuwa resposible hadi inabore!!!!

hapo kwenye red hapo, je unayoyaongea ni ya ukweli weye?
 
Sasa hili demu linalonichukulia mimi mume wangu mbona halijui haya na ni msomi? au degree zile za chupi? khaa chalii hakuna rangi naacha ona aisee! ila mwaka huu haupiti nina mpango kabambe tehetehetehe

Wasomi si malaika Gaga,ni binadamu na wao wana mapungufu.....ile ishu tuendelee kuomba,najua unaumia sana lakini Mungu ni mwema....hasira isikutume kufanya utakayojutia my sister......Keep up the faith....huo mpango nishirikishe basi....penye wawili.....l.o.l
 
Hii dunia ya leo imekaa kibiashara zaidi...watu wanaogopa commitment maana mahandsome wanaonekana kila siku barabarani. Itakuwaje kama **** mtu barabarani amekurusha roho na wewe unajida una commitment?
Ndio maana watu wanachukua njia rahisi. Unatafuta mtu ambaye hakabi mpaka penalti halafu unakula raha kwa kwenda mbele.
 
Nani kakwambia kuna mwanaume wa mwenyewe hapa tanzania?watu kibao wamejimilikisha maubavu ya wenzao,kwanini na sisi tusishee huku tukipima km ndio ubavu wetu!mwanamke mjanja haitaji sharobalo wala mnuka maziwa ya mama eti awe mpenzi.alwayz sharing is caring,na binadamu sio kiwanja mpaka ujimilikishe .punguzeni ubinafsi wanaume wenyewe wako wachache,mnataka wengine tuwe watawa?
 
Nani kakwambia kuna mwanaume wa mwenyewe hapa tanzania?watu kibao wamejimilikisha maubavu ya wenzao,kwanini na sisi tusishee huku tukipima km ndio ubavu wetu!mwanamke mjanja haitaji sharobalo wala mnuka maziwa ya mama eti awe mpenzi.alwayz sharing is caring,na binadamu sio kiwanja mpaka ujimilikishe .

Kazi kweli kweli.......:laugh::laugh::laugh:
 
Nani kakwambia kuna mwanaume wa mwenyewe hapa tanzania?watu kibao wamejimilikisha maubavu ya wenzao,kwanini na sisi tusishee huku tukipima km ndio ubavu wetu!mwanamke mjanja haitaji sharobalo wala mnuka maziwa ya mama eti awe mpenzi.alwayz sharing is caring,na binadamu sio kiwanja mpaka ujimilikishe .punguzeni ubinafsi wanaume wenyewe wako wachache,mnataka wengine tuwe watawa?

Hahahaaaaaaaaaa lol
 
Mbona mimi ni mwanaume wa mwenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom