Kwa wakina dada tu; Kuna nini kwa waume wa wenzenu!!!

Nani kakwambia kuna mwanaume wa mwenyewe hapa tanzania?watu kibao wamejimilikisha maubavu ya wenzao,kwanini na sisi tusishee huku tukipima km ndio ubavu wetu!mwanamke mjanja haitaji sharobalo wala mnuka maziwa ya mama eti awe mpenzi.alwayz sharing is caring,na binadamu sio kiwanja mpaka ujimilikishe .punguzeni ubinafsi wanaume wenyewe wako wachache,mnataka wengine tuwe watawa?

Hapa dada zangu ndo huwa mnanichanganya kabisa,
Mpo mbele kupinga tabia ya wanaume kutoka nje ya ndoa zao,
lakini bado mnasema kuwa hakuna mwanaume wa mwenyewe hapa Tanzania lol...!
Nachanganyikiwa kabisa!!!!!!!
 
Hapa dada zangu ndo huwa mnanichanganya kabisa,
Mpo mbele kupinga tabia ya wanaume kutoka nje ya ndoa zao,
lakini bado mnasema kuwa hakuna mwanaume wa mwenyewe hapa Tanzania lol...!
Nachanganyikiwa kabisa!!!!!!!
Mpwa haina haja ya kuchanganyikiwa,wewe si mwanaume wa mwenyewe l.o.l
 
Du!, hata mimi nimeshuhudia haka katabia!, wapo wengi ni kama ka fasheni fulani hivi, ila kilichowazi huwezi wakuta kwa mwanaume mtu mzima asiye na pesa, wote ni kwa wenye nazo

Haswaaaaa ukiona hivyo ujue kuna kitu wanatafuta wala hapo hamna penzi la ukweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom