mkuu hawa jamaa wa Isimani nao walijisahau sana, walikula kk securitty wote hadi vitoto, nadhani wamekoma hawatarudia tena.Hamna njaa? Wakati Isimani walipata njaa hadi wakaomba msaada wakapewa mahindi wakaomba na mboga (hope kk security were in strike) wakapelekewa njegele.
kwa jinsi wanavyo jibu we mwenyewe unapata picha jinsi mabinti wa kihehe walivyo na adabu, mwanamume akijibiwa hivyo lazima mwenyewe afurahi.Na mabinti wao sasa ukiwatomgoza majibu nayapenda 'Ukiniona nauma majani ujue nimekubali, niangusage tu, sambi sako mwenyewe' Kwa lafudhi ya kihehe lol
Nyela kamwene!
Jamani hili songi linanikumbusha enzi hizo tunazamia harusi mitaa ya mafinga!
"iligimilo ulunyengo...udado unyoko..kangalage ulimage,ulalya kumwaka!
Hebu tukumbushane songi nyingine jamani!i miss home!
Tuwekee na tafsiri mkuu,
si unajua karibia kila familia ina member mmoja kutoka huko kwenu,
hata mimi nina waalimu wawili wa kwaya wanatoka huko huko,
usitupunje bana.
kwa jinsi wanavyo jibu we mwenyewe unapata picha jinsi mabinti wa kihehe walivyo na adabu, mwanamume akijibiwa hivyo lazima mwenyewe afurahi.
Ha ha ha ha ha ha ha
Acha majungu Mamdenyi, wangu ameondoka mwezi uliopita baada ya kukaa naye miaka 4
Wakinuna mbona watoto watapata kwashakoo
Na mabinti wao sasa ukiwatomgoza majibu nayapenda
'Ukiniona nauma majani ujue nimekubali, niangusage tu, sambi sako mwenyewe' Kwa lafudhi ya kihehe lol
Miaka ya 80 hadi 90 wahehe na wabena walikuwa wanyenyekevu sana
hata ukapata binti kutoka huko una uhakika wa mtoto wako kukua vema
sijui miaka hii wamepatwa na nini tena, yaani lol wamebadilika ile mbaya.
Ha ha ha ha ha ha ha
Acha majungu Mamdenyi, wangu ameondoka mwezi uliopita baada ya kukaa naye miaka 4
Wakinuna mbona watoto watapata kwashakoo
Sema tu mnaogopa asije kuwa promoted from a house girl to mke mwenza maana dhambi ya HAPANA hawana kabisa
utandawazi mkuu,hakuna boya siku hizi.
Na mabinti wao sasa ukiwatomgoza majibu nayapenda
'Ukiniona nauma majani ujue nimekubali, niangusage tu, sambi sako mwenyewe' Kwa lafudhi ya kihehe lol
ukutwilusa hegele huko, bite ukatunde ukagonage.