Kwa wadau wote wa MMU: Karibuni tufanye mwaka

.......Nipo swahiba,.....huwa nachungulia tu thread kisha naondoka na mvi zangu.
Nashukuru saaaaana kwa mualiko, ngoja nipige polish Pekoz, na Raizoni zangu...
naamini siku hiyo tubazioni Slim fits, Minis na Maxy Dress za kina Nyamayao, MwanajamiiOne,
Gaga, nyumba kubwa, Maty, Lizzy, Kaunga, King'asti, et al....

bila kuwasahau kina bro The Finest, Mentor, Asprin, The Boss, BAK....etc.....
tupo pamoja Swahiba, 2015 is Loading.
Tupo sema mzee wangu Asprin anaelekea kwenye uzee kwahiyo anatupa shida sana sie vijana wake
 
Last edited by a moderator:
Wazeee wa bandari....meli hiyooo
Hahahahaha hatimaye umefufuka kama ulivyosema?

Naona bazazi umekuja rasmi kumendea vimchuchu vipya vya ChitChat.... Kabla hujaingia cha kike hakikisha unaniPM. Kuna vimchuchu huku havina tofauti na Pulofesa Tibaijuka...... Yani labda itokee tu shehe....
 
Usiponirudishia my fellow tablet wangu klorokwini sitaongea na wewe 2015:confused2::confused2::confused2:

BTW, Ulikuwa wapi siku zote mzee mwenzangu??

Nakuonaga tu na uchokozi kule nyumbani kwetu Liverpool.... Mi hata sichangii manake BR ananiudhi mpaka nakosa cha kuandika.

Nikikuona tu, nahisi kama nina mabounsa 100 wamenizunguka.....

Mzima wewe mzee mwenzangu?

Nimwambie katibu Mwanyasi na mtunza mafweza KOKUTONA wakuandilie wapi na nini ukaile siku kuu?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha hatimaye umefufuka kama ulivyosema?

Naona bazazi umekuja rasmi kumendea vimchuchu vipya vya ChitChat.... Kabla hujaingia cha kike hakikisha unaniPM. Kuna vimchuchu huku havina tofauti na Pulofesa Tibaijuka...... Yani labda itokee tu shehe....
Hahahah...hii ni shida sasa PM muhimu ila na kwingine pia tunakaba
 
.......Nipo swahiba,.....huwa nachungulia tu thread kisha naondoka na mvi zangu.
Nashukuru saaaaana kwa mualiko, ngoja nipige polish Pekoz, na Raizoni zangu...
naamini siku hiyo tubazioni Slim fits, Minis na Maxy Dress za kina Nyamayao, MwanajamiiOne,
Gaga, nyumba kubwa, Maty, Lizzy, Kaunga, King'asti, et al....

bila kuwasahau kina bro The Finest, Mentor, Asprin, The Boss, BAK....etc.....
tupo pamoja Swahiba, 2015 is Loading.

Duhhhhhhhh,

Hayo makitu bwana.....zile enzi haziwezi kurudi swahiba wangu....

Ujue natamani kufanya mazoezi ya kuchenza ile kitu tuliita bampingi na twisti!!

Karibu sana kaka!!
 
Not true!!! and its hard for u to believe! all in all I do love my Liane's papaa jaman wish u a merry christmas and a happy new year sweetdarlingto! Natamani likizo isiisheeeeeeeeeee kwa maloveeee unayonipa natamani mpaka niache kazi ilimradi tu nikuone kila dakika haha haaa!
Kwani anakusoma mjengoni?
 
Back
Top Bottom