Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

Kwa wadada tu (wakaka hamhusiki hapa)

jikalie tu kama mimi,kama unaelekea kwenye ndoa na binadamu unayemuona hana maana,unapoteza muda wako.....
Ndo mnafika huko wiki mbili tatu mnaleta majibu kama haya mnavunja ndoa,in short bado maturity yako ni ndogo,unatafuta majibu mepesi kwenye maswali magumu,ukipewa huelewi......am done!!!!

well said,thx michelle.
 
Hivi aliyeleta hii thread yuko wapi au ndio tayari kaishapata majibu yake
 
Hapana Michelle............. Huyu atakuwa treni toka Dar hadi kule Kapilimposhi Zambia wanashuka na kupanda wengi wengi............. Mara Ngerengere, Mlimba, makambako, Mbeya, .....etc..........etc

Ha ha ha ha ha ha ha,tatizo hao abiria wanaweza shuka wote akajikuta mwenyewe..........lol
Inaonekana mwenyewe anajiweza,manake anajiamini as if aliambiwa ndo siri ya mafanikio!!!
 
i made it up all along.....cant stay far from that yummy smile of yours.....i can be a spair now cause i see your left tyre gonna burst soon! teheteee

Ha ha ha ha ha, this time i will not fix it,simply because i have a back up plan!
 
ha ha ha ha ha ha ha,tatizo hao abiria wanaweza shuka wote akajikuta mwenyewe..........lol
inaonekana mwenyewe anajiweza,manake anajiamini as if aliambiwa ndo siri ya mafanikio!!!

bidada ana makonfidensi mno.
 
Kwanza kabisa sifagilii watu wanaopanga wenzao mstari!So unfair maana wenyewe unaweza kuta wamefika kumbe wako kwenye majaribio!!Ushauri..pesa zinaisha kwahiyo ukizitumia kama kigezo cha kuolewa baadae mambo yakaenda ndivyo sivyo ndo mwanzo wakutengana kwasababu hutokua na mapenzi ya kweli!Kama unampenda Mmassai yeye ndo anakufaa!Kama ni pesa mtatafuta pamoja!
I love you Lizzy... you are a straight person
 
Bigie nawe..ushaonja kidogo nini?Hehehe!Hapo tatizo lipo kwa mwanamke anaetaka kuolewa na mwanaume kwa vile tu ana pesa hata kama hampendi!Mwanaume anaweza kua anampenda kweli bila kujua mwenzake anataka kumATM tu!Zikiisha unadhani huyo mwanamke atafanyaje?

Atachimba ndio sababu waswahili wanasema kiume pesa kudi.... ni ugonjwa kama kupenda kampende mama yako kijijini!
 
Pesa?
1.Mama mchaga baba mngoni (inawezekana mama anakupa ushauri kupitia ndoa yake).
2. Unadata na pesa za wamarangu na maisha ya baadae (inawezekana in your family pesa mishemishe unaona kama Deja vu).
3.it seems you have already decide what to do........
You don't have to answer to any one except to God do what fits you and only you, any one can decide how many sins he/she can live with.
 
na usingizi wake leo lazima uwe wa manyangunyangu
hahahahaaa!!!
watu mtafikiri mlikuwa mnamlia timing.......akifurukuta mnapiga nyundo mule mule...........anaonekana anaweka mabandiko ya marangu na kubandua kama DJ bon luv...........yani ni mwendo wa Lymo.......Mosha.........Macha........Tarimo.....yani kwa mwendo huo.
 
Back
Top Bottom