Kwa wachaga tu.

Ah mpwa bwana, hivi kumbe haya mambo ya kweli sana tu. Haya tukutane himo.
 
yani nimecheka jamani,acha tu
 
Kaka wewe kiboko umesidi kuniua mbafu, inabidi mwakani nikupigie debe kwa madam Bongo star sechi, tunaweza tukatoka.
 
Peleka kwenye jukwaa la SIHASA anyway I wanna wish u a merry xsmas n happy new year
 
Kanisani kunakuwa na sadaka ya pili( kumwona mtoto pangoni), huku kwaya ikijitahidi kuimba kwa nguvu na kushangilia ili kuhamasisha mshiko zaidi. Misa inakuwa ndeefu huku wale ambao jana yake walilala nazo kichwani wakivinjari karibu karibu na viunga vya kanisa kutafuta mahali pa kuzimulia. Harufu ya Pilau kwa mbaali inasikika huku watoto wakicheza huku na kule wakisubiri msosi wa nguvu home! Mialiko kedekede mara baada ya misa. Jamaniii, bado siku 23 tu, tukutane kwa Kipanga Majengo!
 
Sema yoote ila sio hapo.....tunachimba hata mitaro watoto wasome. Nauelewa wao wa kimasomo na maisha usipime.
 
Mzee umenifurahisha nimekuwekea na mazingira ya home uyaone.

Attachments

  • banana.jpg
    41.8 KB · Views: 125

Mkuu Chris, Wengine hata kwao hawakujui. Sisi kwetu MOSHI tunakujua na kwenu msiojua kwenu pia twakujua. Acheni tukale zetu krisimasi( NDAFU+MBEGE = UTAKUMBUKA KWENU).
 
Mzee umenifurahisha nimekuwekea na mazingira ya home uyaone.

Hapo mndenyi kama kuna kambuzi kameshalishwa masale na kusuguliwa na ulezi mgongoni huku mzee akiomba dua kwa wameku. Mbuzi anapigwa kabali mpaka anajikojolea afu kisu kinapenyezwa shingoni. Damu inatoka kwa presha ya ajabu. Kisusio kinakuwa kwenye maandalizi. Hahaha! Karibuni Moshi tule krismasi jamani!
 
Naona kuna haja ya kurevive treni ya moshi ili kuokoa kupanda kwa nauli za magari
 
Kaka wewe kiboko umesidi kuniua mbafu, inabidi mwakani nikupigie debe kwa madam Bongo star sechi, tunaweza tukatoka.

Hahaha! Hapo bado sijakutwangia ule mkwanja unaitwa umben'lesha? Unaujua huo? Huo unaimbwa baada ya kukolea mbege na ndafu yenye akili.
 
Achana nae mpwa chukua huu mti mpelekee bibi au atapamba na MSONOBARI?
 
Mkuu Chris, Wengine hata kwao hawakujui. Sisi kwetu MOSHI tunakujua na kwenu msiojua kwenu pia twakujua. Acheni tukale zetu krisimasi( NDAFU+MBEGE = UTAKUMBUKA KWENU).

We acha tu meku. Hapa natafuta fomu za likizo. Tarehe 21 desemba ikinikutaga DSM huwa naugua malaria kali sana. Home Sweet Home.
 
Achana nae mpwa chukua huu mti mpelekee bibi au atapamba na MSONOBARI?

Hahaha! Umenikumbusha bibi yangu. Ye biashara ya kupamba maua hapendeleagi. Ye anataka mengele (njia ya kuingia nyumbani toka barabarani) ifagiliwe iwe safiiii. Jioni ya tarehe 24 na alfajiri ya krismasi dei. Na pale inapoanzia barabarani lazima mchore msalaba kwenye ardhi kwa maua. Adhawaiz, machalari siku hiyo ndiyo kitakuwa chakula chenu. Hakuna cha mshele wala shabati! LOL!
 
Wapandishe ila wasipandishe bei ya petrol na Disel.

Hahaha! Academicians from Dar Vs Wana-Apollo from Arusha haitanoga. Kipindi hiki stout huwa zinafichwa zisichafue mazingira.
 
Mzee umenifurahisha nimekuwekea na mazingira ya home uyaone.

Daah, kamanda unaua, unakumbu jina la aina hii ya ndizi? Nakukumbusha tu(ndishi) kwa nyuma kusho kulee naona(Mchare/mshare). Unajua kibukusa na ilalalyi!!!
 
Daah, kamanda unaua, unakumbu jina la aina hii ya ndizi? Nakukumbusha tu(ndishi) kwa nyuma kusho kulee naona(Mchare/mshare). Unajua kibukusa na ilalalyi!!!

Mzee mimi leo natoa thanks tu, mnanifurahisha sana wazee nina miaka mingi sijala xmas home, hopeful this time tutakuwa pamoja. Ngoja ni kupm mkubwa.
 
Wachaga bwana, mnatoa burudani. At least watu mnakumbuka kwenu, sio wengine mpaka wakienda kuzikwa hakuna hata anayejua njia. Sasa nasikia yale majumba mazuri mnayojenga ndiyo yanakuwaga hayana wakaazi mpaka XMAS?
 
[QUOTE=BornTown;657240]Chamecha mono mshiki yuuuuuu cha kilora basi....[/QUOTE]

Siyo siri Meku mmenifikisha mbali sana, Nimevimisi sana hivyo vipata vya mege (chirahu) so lukeamba kipata si si kirau foo....laaa iyoleta kiti..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…