GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,709
- 109,145
Itakuwa makumbushoUnamaanisha ile hospitali iliyopo kinondoni...
Mama Janeth Magufuli alilazwa Hospital gan?
Watanzania sijui tuna nn katika vichwa vyetu!! Watu Sasa wanaanza kusaka marehemu alilazwa hospital gan!!Mpinzire General Hospital.
Watanzania sijui tuna nn katika vichwa vyetu!! Watu Sasa wanaanza kusaka marehemu alilazwa hospital gan!!
Amen and AmenHospital zingine si vizuri kuzitaja taja kwa sababu ya kiusalama zaidi. Pale kuna kila huduma kwa kifupi ni zaidi ya MOI. RIP Mzee wetu, tulikuwa tunakuhitaji mno hasa kuelekea huu uchaguzi Mkuu ili ushuhudie mabadiliko wanayoyahitaji watanzania kwa macho yako. Mungu amekupenda zaidi - "Pumzika kwa Amani", hili ndilo tu tunaweza kulisema tu kwa sasa.
Alipona?Kiongozi alikuwa ni Mandela hawa wengine ni watawala ndiyo maana hata alipolazwa wananchi wake walijulishwa na wakawa wanakesha nje wakimuombea.
Huyu uliyemficha amepona?Alipona?