Kwa utendaji huu ukimlinganisha na Hayati Magufuli, ni busara Rais Samia asigombee 2025

Bei ya mafuta imepanda mara dufu
Bei ya mafuta unafahamu inapanda kutokana na kupanda bei duniani? 2018 bei ilipanda pia picha hapo chini
Screenshot_20210803-204410_YouTube.jpg
 
Samia, eneo aliloharibu kabisa ni hili la kumbambikia Mbowe kesi ya ugaidi. Na huenda hili limefanywa na mahasimu wake ndani ya CCM ili kuhakikisha Samia anaingia kwenye mgogoro mkubwa na wananchi wapenda haki na jamii ya kimataifa. Na wamefanikiwa.

Sasa wanaompinga wameongezeka. Hapo mwanzo waliokuwa wakimpinga na kumsema vibaya Samia ni wale wafia Magufuli. Lakini sasa kundi limekuwa kubwa dhidi yale.
 
Back
Top Bottom