Kwa UFEKI huu africa kusini mnatisha!

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
Tanzania tumejitahidi kwenye vitu feki: Trafiki, Immigration, Polisi n.k. ila waSauzi wametupiku: Mkalimani wa viziwi FEKI? Anapaswa kupewa adhabu gani? ImageUploadedByJamiiForums1386820965.862595.jpg
 
BJBM

JF-Expert Member
Nov 25, 2011
587
500
Kwanini wasema feki? Ni kitu gani alchokifanya ambacho ni unusual?!
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,420
2,000
Eti wanadai yule anaewatafsiria viziwi ndio fake. Yaani kinachoongelewa na anachoki-interprete haviendani
 
kyanaKyoMuhaya

JF-Expert Member
Jul 8, 2012
1,952
2,000
umevurugwa mapema hivi,toa evidence tukunange hapa

Cc: Kibo10

image.jpg

South Africa's deaf federation said this interpreter (seen here with President Obama after his speech at the memorial service for former South African president Nelson Mandela) was a fake. He has reportedly been identified as Thami Jantjie.

It was not immediately clear how the bogus interpreter slipped into the service, which was attended by nearly 100 heads of state.Experts agreed that the bogus interpreter was not signing American sign languages or any of South Africa's 11 official languages. But he still managed to stay on stage for the duration of the service, leaving leaders in the deaf community outraged.
Read more: Fake deaf interpreter at Nelson Mandela memorial identified: reports - NY Daily News
 
Last edited by a moderator:

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,108
2,000
hahahahaaaaaaa nilidhani ni Bongo tu aiseeee nilivyoicheki jana hata sikuamini wakati BBC wanairipoti
MANI na zumbemkuu njooni muone mtaalamu huyu toka China
Cc: Kibo10

View attachment 126177

South Africa's deaf federation said this interpreter (seen here with President Obama after his speech at the memorial service for former South African president Nelson Mandela) was a fake. He has reportedly been identified as Thami Jantjie.

It was not immediately clear how the bogus interpreter slipped into the service, which was attended by nearly 100 heads of state.Experts agreed that the bogus interpreter was not signing American sign languages or any of South Africa's 11 official languages. But he still managed to stay on stage for the duration of the service, leaving leaders in the deaf community outraged.
Read more: Fake deaf interpreter at Nelson Mandela memorial identified: reports - NY Daily News
 
Last edited by a moderator:

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
Tanzania tumejitahidi kwenye vitu feki: Trafiki, Immigration, Polisi n.k. ila waSauzi wametupiku: Mkalimani wa viziwi FEKI? Anapaswa kupewa adhabu gani? View attachment 126172

Jamaa aliyekuwa anatafsiri lugha kwa walemavu imegundulika ishara alikuwa anatumia hazipo kwenye mafunzo hiyo ni kwa mujibu wa mwenyekiti wa viziwi south africa
 
ChescoMatunda

JF-Expert Member
Jan 7, 2009
1,186
1,500
Feki machoni pako ila Nadhani alikuwa kikazi zaidi sio kila kazi yaweza kuhakikiwa na macho ya kila mmoja hasa media
 
TIQO

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
13,798
0
Jamaa aliyekuwa anatafsiri lugha kwa walemavu imegundulika ishara alikuwa anatumia hazipo kwenye mafunzo hiyo ni kwa mujibu wa mwenyekiti wa viziwi south africa

Mwenyekiti wa viziwi anajua ishara za Kizulu huyu alikuwa anaonyesha ishara za kingereza.
 
Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,280
2,000
Mwenyekiti wa viziwi anajua ishara za Kizulu huyu alikuwa anaonyesha ishara za kingereza.

Sasa wewe shindana na chama chao pamoja na new york time pia bbc wameripoti hili swala wewe ubishi wako ni wakimakusudi
 
Iron Lady

JF-Expert Member
Mar 4, 2008
4,070
1,750
dunia uwanja wa fujo kila mtu ana fujo zake. aliyemruhusu kuja hapo kufanya kitendo hicho mbele hya halaiki alijua uwezo wake au nae alipigwa changa la macho?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom