Jinsi hali inavyoenda mwaka huu hadi dawa hospitalini zitakuwa shida

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
715
1,774
Miaka ya mwanzoni mwa 2000 kundi la mziki la wagosi wa kaya lilipata umaarufu sana kwa kuziimba kero za wananchi bila woga. Kero hizo maarufu ilikuwa ni;

1. Umeme na Maji
2. Wauguzi na Madawa
3. Trafiki n.k

Kero hizi zilidumu miaka yote ya Jakaya hadi alipoingia Magufuli. Miaka hii ya Mama Samia kila changamoto imerudi mahali pake. Umeme na Maji ishakuwa kero tayari, Wauguzi nao malalamiko dhidi yao yanaongezeka, Trafiki ndio usiseme na ajali zinazidi.

Mama ameshashindwa kulipa Wakandarasi, nawaambia mwaka huu dawa zitakosekana hospitalini. Tutarudi palepale kwenye kulala chini hospital na kupewa panadol tu. Jiulize hiyo bima ya afya kwa wote itatekelezwaje?
 
Hakuna kitu ambacho kilishawahi kufanywa na Serikali ya ccm kikafanikiwa.

Kama kipo kitaje ??
 
Back
Top Bottom