Kwa uchakachuaji huu magari hayaponi!

Kwa uchakachuaji huu magari hayaponi!

Tanzania ni Janja janja tu hakuna cha UNLEADED wala PETROL sa hv Shehena ya mafuta inayoagizwa ni moja so kama zaman kila mtu kujiagizia Mafuta. Shehena ya meli ikifika babdarini kila depo inachukua mzigo wa kiasi cha lita inazohitaji. OILCOM,GBP&LAKE OIL wanauza SUPER, PUMA TOTAL & ENGINE wao wanauza UNLEADED, Lakn mda huo huo unakuta puma au total kaishiwa Mafuta kwenye depo yake.Unazikuta gari za puma au Total zipo Oilcom zinapakia mzigo au GBP afu wanakuja kumwaga kwenye vituo vyao wanauza Kama UNLEADED.



Kweli usemavyo, hakuna mamlaka zilizo serious imebakia sarakasi tu
 
Kuna aina zaidi ya mbili ya petrol ila common kwa Tanzania ni unleaded pamoja na Super

1.Super
hii ni aina ya petrol ambayo ni nzito na maana haiko purified mpaka mwisho.
Unapoweka haya mafuta ni kuwa mwangalifu especially ukiwa waweka kwenye gari za kisasa zinazotumia nguvu/umeme mkubwa. kuweka super kunaweza sababisha misfire na uliweka haya mafuta utaona gauge inapanda taratibu.

Sababu haya mafuta ni mazito hata consuption pia inaenda pole pole ni sawa umimine uji na maji kwenye caro la majitaka kipi kitawahi kuisha?

2. Unleaded.
Haya mafuta ni ambayo yako purified mpaka mwisho/mafuta mepesi... uchomaji wake ni mzuri na mara nyingi gari inakua na nguvu zaidi ukiwekea unleaded

consuption ni kubwa ila gari inakua na nguvu

Petrol stations zinazoza unleaded ni pamoja na engine,puma,total na nyingine

na ambazo zimejikita kwenye super ni oilcom, camel oil, gbp na nyingine

kwenye prices mara nyingi super inakua chini kidogo ya unleaded chukulia mfano camel oil na gbp ukilinganisha na puma na total

mnaotumia lexus,nissan teana, fuga etc yaninkwa kifupu gari za kisasa zinazotumia umeme mwingi nawashauri mtumie unleaded

nimeproove hili kila nikiweka super kwenye nisasan teana lazima taa ya check engine iwake which is not the case napotumia unleaded
Boss siku hizi nasikia kuna BULKY PROCUREMENT SYSTEM kwa mafuta, yaani mtu mmoja tu ndio anaagiza na kuwasambazia wengine wote. Sasa ukisema Puma,Engen,Total wanauza Unleaded na Oilcom,Camel wanauza Super je hivi vitu huko kwenye depot zao wana viwanda vidogo kwa ajili ya purification from whatever form to Super/Unleaded?

Hao wanaotuletea Bulky Petrol huwa wanaleta kwenye form ipi Super,Unleaded au ipi? Naomba unifahamishe tafadhali.
 
Acheni kudanganywa Tz hamna UNLEADED wala SUPER kinachofanyika ni kampuni moja inaeza kuongeza rangi tu au nyingnine isiweke kabisa ukakuta mafute mengine ni meupe Kama ya taa au mengine mekundu Sana hizo ni rangi zinachanganywa depo au kwenye vituo wakati wa kushusha
Nimemuuliza mtu mmoja atuambie maanke anaeleta mafuta siku hizi ni mtu mmoja tu.
 
Back
Top Bottom