Kwa uchakachuaji huu magari hayaponi!

Kwa uchakachuaji huu magari hayaponi!

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Leo nimelazimika kutoa petrol iliyokuwa kwenye tank ya gari yangu baada ya kusumbua kwa kuzimazima na kutoa milio isiyo ya kawaida. Fundi akanieleza hali hiyo inasababishwa na petol mbaya ndipo alipoitoa na kulinganisha na petrol nyingine,baada ya kuibadilisha tu gari yangu ikarudi kama ilivyokuwa mwanzoni.

Naviomba vyombo vya serikali vifanye ukaguzi wa kushtukiza katika vituo vya mafuta la sivyo magari yetu hayatabaki salama.
IMG_20171121_151812.jpg
 
Leo nimelazimika kutoa petrol iliyokuwa kwenye tank ya gari yangu baada ya kusumbua kwa kuzimazima na kutoa milio isiyo ya kawaida. Fundi akanieleza hali hiyo inasababishwa na petol mbaya ndipo alipoitoa na kulinganisha na petrol nyingine,baada ya kuibadilisha tu gari yangu ikarudi kama ilivyokuwa mwanzoni.

Naviomba vyombo vya serikali vifanye ukaguzi wa kushtukiza katika vituo vya mafuta la sivyo magari yetu hayatabaki salama.View attachment 636144
Hiyo ni rangi tu haina madhara yoyote, mbona kuna petrol ni nyeupe kama maji, niliwahi kujaza Lindi nikadhani ni mafuta ya taa kumbe petrol tu.
 
Mkuu tupe elimu hapo, sijawahi kuhisi kama unleaded na super zina maana mbili tofauti

Kuna aina zaidi ya mbili ya petrol ila common kwa Tanzania ni unleaded pamoja na Super

1.Super
hii ni aina ya petrol ambayo ni nzito na maana haiko purified mpaka mwisho.
Unapoweka haya mafuta ni kuwa mwangalifu especially ukiwa waweka kwenye gari za kisasa zinazotumia nguvu/umeme mkubwa. kuweka super kunaweza sababisha misfire na uliweka haya mafuta utaona gauge inapanda taratibu.

Sababu haya mafuta ni mazito hata consuption pia inaenda pole pole ni sawa umimine uji na maji kwenye caro la majitaka kipi kitawahi kuisha?

2. Unleaded.
Haya mafuta ni ambayo yako purified mpaka mwisho/mafuta mepesi... uchomaji wake ni mzuri na mara nyingi gari inakua na nguvu zaidi ukiwekea unleaded

consuption ni kubwa ila gari inakua na nguvu

Petrol stations zinazoza unleaded ni pamoja na engine,puma,total na nyingine

na ambazo zimejikita kwenye super ni oilcom, camel oil, gbp na nyingine

kwenye prices mara nyingi super inakua chini kidogo ya unleaded chukulia mfano camel oil na gbp ukilinganisha na puma na total

mnaotumia lexus,nissan teana, fuga etc yaninkwa kifupu gari za kisasa zinazotumia umeme mwingi nawashauri mtumie unleaded

nimeproove hili kila nikiweka super kwenye nisasan teana lazima taa ya check engine iwake which is not the case napotumia unleaded
 
Uongo mtakatifu
 
Tofauti ya rangi hutokana na aina ya petrol, haimaanishi kwamba necessarily ni mbovu
 
Thanks mkuu nimejifunza kitu aiseee, kuna siku tulikua tunajiuliza na mshakaji wangu mbona sheli zingine gauge inapanda fasta nyingine hadi gari itembee umbali fulani ndo unaona gauge
 
Mie natumia kituo cha mafuta cha AFRO OIL wako vizuri sana,
 
Tanzania ni Janja janja tu hakuna cha UNLEADED wala PETROL sa hv Shehena ya mafuta inayoagizwa ni moja so kama zaman kila mtu kujiagizia Mafuta. Shehena ya meli ikifika babdarini kila depo inachukua mzigo wa kiasi cha lita inazohitaji. OILCOM,GBP&LAKE OIL wanauza SUPER, PUMA TOTAL & ENGINE wao wanauza UNLEADED, Lakn mda huo huo unakuta puma au total kaishiwa Mafuta kwenye depo yake.Unazikuta gari za puma au Total zipo Oilcom zinapakia mzigo au GBP afu wanakuja kumwaga kwenye vituo vyao wanauza Kama UNLEADED.
 
Leo nimelazimika kutoa petrol iliyokuwa kwenye tank ya gari yangu baada ya kusumbua kwa kuzimazima na kutoa milio isiyo ya kawaida. Fundi akanieleza hali hiyo inasababishwa na petol mbaya ndipo alipoitoa na kulinganisha na petrol nyingine,baada ya kuibadilisha tu gari yangu ikarudi kama ilivyokuwa mwanzoni.

Naviomba vyombo vya serikali vifanye ukaguzi wa kushtukiza katika vituo vya mafuta la sivyo magari yetu hayatabaki salama.View attachment 636144
Ulinunua wapi hiyo petroli ya njano?
 
Mbona kama mafuta ya alizeti? Mkuu ulikuwa unapika gari
Siku nyingine nenda kwenye vituo bora vya mafuta
 
Tanzania ni Janja janja tu hakuna cha UNLEADED wala PETROL sa hv Shehena ya mafuta inayoagizwa ni moja so kama zaman kila mtu kujiagizia Mafuta. Shehena ya meli ikifika babdarini kila depo inachukua mzigo wa kiasi cha lita inazohitaji. OILCOM,GBP&LAKE OIL wanauza SUPER, PUMA TOTAL & ENGINE wao wanauza UNLEADED, Lakn mda huo huo unakuta puma au total kaishiwa Mafuta kwenye depo yake.Unazikuta gari za puma au Total zipo Oilcom zinapakia mzigo au GBP afu wanakuja kumwaga kwenye vituo vyao wanauza Kama UNLEADED.
Hii ni anomaly ambayo EWURA wanatakiwa wafuatilie..
 
Acheni kudanganywa Tz hamna UNLEADED wala SUPER kinachofanyika ni kampuni moja inaeza kuongeza rangi tu au nyingnine isiweke kabisa ukakuta mafute mengine ni meupe Kama ya taa au mengine mekundu Sana hizo ni rangi zinachanganywa depo au kwenye vituo wakati wa kushusha
 
Back
Top Bottom