NANCA
Member
- Jun 23, 2023
- 92
- 100
Kwa nchi hii kusoma ni upumbavu nambari moja maana unakuta mjinga ana nguvu kuliko msomi na msomi anamfanyia mpumbavu kazi za kipumbavu kwa kumkandamiza mjinga mwingine au msomi mwingine. Kiufupi ktk taifa la giza wapumbavu huwa na nguvu sana kuliko wenye akili. Kuna siku ntaukana uraia wa taifa la giza na nkaishi marekani.