Mikoa 10 Yenye Visimbuzi (Decider TV Subscriptions) Vingi Tanzania. Mkoa wa Songwe Unaburuza Mkia

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,109
49,812
Kwa Mujibu wa TCRA,Mikoa 10 inayoongiza Kwa kuwa na Visimbuzi vingi Kwa Tanzania Bara ni kama ifuatavyo.

1.Dar
2.Arusha
3.Mwanza
4.Mbeya
5.Dodoma
6.Morogoro
7.Kilimanjaro
8.Tanga
9.Kagera
10.Mara

Mikoa ya Songwe na Manyara ya mwisho kabisa Kwa watu wake Kushindwa Kumiliki TV.

Screenshot_20231026-180458_1.jpg
 
Back
Top Bottom