Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
duh kweli hapo inabidi uoe
Tatizo lako hueleweki HEAVEN, umeadimika miezi, hata mawasiliano hutaki tena, sasa ntakuandaaje kuwa mke, napata wasiwasi ujue.
Ila nikikumbuka sura yako ya upole na sauti yako nyororo nachoka kbs.
after all miaka 20 ndo kamezidi miaka 2 tu toka 18 hako hata buku tano kanaona nyingi ngoja kaje kazijue!
Mbona wengine tumezijua na tumejituliza tu.......muwage na positive thinking saa nyingine
duh kweli hapo inabidi uoe
Ukisema hivo mi huku Hoi.mie mwenyewe nakukumbuka such a charming DUDE.......nitakuona lin tena!!!!!
yule rafiki yetu mwingine yupo!!!!salam zake
Mkuu unajua kutokana na maelezo yako naweza kuwa na maoni tofauti kabisa kuhusu uhusiano wako na huyo binti, labda ungesema una umri gani, na aina ya taaluma ulyonayo, unaweza kushangaa nikwanini nimekuulza hivyo ila ukinijibu ndio nta-comment kuhusu uhusiano wako na huyo binti namna ulvyo na namna utakavyokuwa iwapo utaamua kumuoa.
after all miaka 20 ndo kamezidi miaka 2 tu toka 18 hako hata buku tano kanaona nyingi ngoja kaje kazijue!
Unaninyong'onyeza Heaven! yule best yetu yupo. Ni-PM no yako, sasa hivi basi...hopefully hutumii tena Sasatel
Wisest man njoo umjibu mwanasheria wangu huku............Siwezi kuweka bayana umri wangu hapa jukwaani, ila u can guess, niko in between 22-27.
Kuhusu taaluma, mimi ni Mwanasheria. Haya karibu mkuu...
Roughly three months mkuu
Wisest man njoo umjibu mwanasheria wangu huku............
Kana miaka 20, baba yake mzazi ni mpare na mama mu-iraq. Ni kazuri kupindukia coz sinaga historia ya ku-date mabinti wabaya. Bado kako chuoni.
Oneni tabia zake... hakajawahi HATA SIKU MOJA kuniomba pesa, nikajishtukia ikabidi nimuulize kama ana shida yoyote, akanijibu kwamba kwa sasa wenye wajibu wa kumtunza na kumsomesha ni wazazi wake.
Nina gari, ila hajawahi kuliulizia siku asiponiona nalo, ameshaniaminisha kwamba ananipenda kama nilivyo, tofauti na madem wengine wapenda maujiko kwamba mabwana zao wana magari!
Siku nikipata dharura nikawa sina airtime kwenye simu ananitumia!
Msimamo ndio usiseme, kuna jamaa alimtaka mtoto akakataa, jamaa akamtishia, mtoto akaenda kumshtaki polisi.
Binafsi nimewahi kumnunulia vitu vidogovidogo tu tena kwa kumbembeleza ikibidi kumlazimisha!
Asipobadilika wallahi vile NAOA!
kumbe ''no money no honey'' haiapply kila sehemu...Nishamgegeda mara kadhaa, hilo lisikupe hofu kbs mkuu.
kumbe ''no money no honey'' haiapply kila sehemu...
Hatuchekani, hata ninyi hamueleweki vilevile.
kubadilikaje? wanaanza kutembelea kichwa au? muwage na mawazo ya kujenga wakati mwingine eboooo!
Siwezi kuweka bayana umri wangu hapa jukwaani, ila u can guess, niko in between 22-27.
Kuhusu taaluma, mimi ni Mwanasheria. Haya karibu mkuu...
Ok mkuu! kwa sababu hujakamilisha majibu ya maswali niliyokuulza kwa kutojibu swali la umri wako kwa sababu unazozijua wewe basi jibu maswali haya rahisi harafu niseme nilichotaka kusema kuhusu uhusiano wako na huyo binti
1.Ni mazingira gani yaliyochochea/kupelekea wewe kuanzisha uhusiano na huyo mwanafunzi?
2. Asili ya kabila lako ni lipi?(usishtuke kukuuliza hivi)
3.Je huyo binti hapo alipo anaishi na wazazi wake au anaishi chuoni?.