Kwa tabia hizi LAZIMA UOLEWE

usijidanganye kuna mtu anampa ela nzuri wewe ni wa kumliwaza tuu,eti.ajawai kukuomba hela ndo unachofuraia wake up this dig planet we know how to deal wt ur brain,kashakusoma wewe unapenda nini,be responsible kma unampenda,
 
Tembelea hostel kwao ukaone picha za birthday walivyopendeza na mupenzi wake. Wewe alikukubalia kwa kua ulikua king'ang'anizi sana.
 
Nakubaliana na wewe kabisa. If you love her then be responsible
 
Tembelea hostel kwao ukaone picha za birthday walivyopendeza na mupenzi wake. Wewe alikukubalia kwa kua ulikua king'ang'anizi sana.

Hapa ndio utashangaa wanaume wasivyojua wanataka nini,wakiombwa pesa wanalalamika! Wasipoombwa wanahisi kuna wanaohudumia!!!!!
Bint anajitambua cha msingi ni wewe mkaka kuwa responsible sasa,haombi pesa lakini bado unaweza kumpelekea zawadi na hata pesa unapohisi anahitaji au hata once baada kila 3months!
Jitambueni men,sio lazima muombwe ombwe!!!!
 
Kana miaka 20, baba yake mzazi ni mpare na mama mu-iraq. Ni kazuri kupindukia coz sinaga historia ya ku-date mabinti wabaya. Bado kako chuoni.

Oneni tabia zake... hakajawahi HATA SIKU MOJA kuniomba pesa, nikajishtukia ikabidi nimuulize kama ana shida yoyote, akanijibu kwamba kwa sasa wenye wajibu wa kumtunza na kumsomesha ni wazazi wake.

Nina gari, ila hajawahi kuliulizia siku asiponiona nalo, ameshaniaminisha kwamba ananipenda kama nilivyo, tofauti na madem wengine wapenda maujiko kwamba mabwana zao wana magari!

Siku nikipata dharura nikawa sina airtime kwenye simu ananitumia!

Msimamo ndio usiseme, kuna jamaa alimtaka mtoto akakataa, jamaa akamtishia, mtoto akaenda kumshtaki polisi.

Binafsi nimewahi kumnunulia vitu vidogovidogo tu tena kwa kumbembeleza ikibidi kumlazimisha!

Asipobadilika wallahi vile NAOA!

Una mpango nako au ndo unasubilia uje na part 2 utuambie eti kale ka she sasaivi sikaelewi! Wakati umetuhakikishia kametulia? Jitahidi bwana usikaangushe maana kenyewe umeshatuhakikishia kanakupenda.
 
Tatizo la wategemea wazazi ukimchukua jumla atataka apewe kila kitu kama alivyokuwa anapewa na baba yake. Na ukimwambia leo hali sio nzuri anaona kama unamkatalia. Hawa huwa hawajui maisha kiundani zaidi.
 
Ha ha ha! The road is very unpredictable usichekelee kuto kuombwa hela mda mwingine kunakuwa na jibaba linakata sana zaid yako. .

Sema kingine mkuu, nina hakika kbs hana mtu anayemlea. Mabinti sijawajua jana wala leo.
 
usijidanganye kuna mtu anampa ela nzuri wewe ni wa kumliwaza tuu,eti.ajawai kukuomba hela ndo unachofuraia wake up this dig planet we know how to deal wt ur brain,kashakusoma wewe unapenda nini,be responsible kma unampenda,

It might be true lkn sio mabinti wote wako ivo, halafu mabinti sijawajua jana wala leo, nina uzoefu nao. Ningeshagundua.
 
Back
Top Bottom