Kwa tabia hizi LAZIMA UOLEWE

Kwa tabia hizi LAZIMA UOLEWE

Men....... mbona wengi wenu mna mashaka kiasi hiki? Wasichana wa hivyo wapo jamani ni wachache lakini wapo!
Ila sasa ukiwa bore ndiyo kasheshe inaanzia hapo! Mleta mada jiangalie tabia zako unaweza kuwa mume bora kwa binti wa aina hii? Ukitulia naye atatulia, ukileta zako za kuleta utaisoma namba! kwa binti mwenye msimamo kama huyo ni ngumu kumchezeachezea, na kuomba sorry!
 
Ngoja na mimi nipige chini hiki kimeo changu maana kina njaa kali kama kimezaliwa Somalia. Utasikia mara bebii hela ya Saloon, Mara next week nina birthday nataka niifanyie Jangwani Sea Breeze na marafiki zangu wa chuo!! Yani ni shidaaAaa. Mkuu huyo binti ni wa aina ya peke yake so fanya juu chini uweke ndani kabisa.

Duh! kwanza pole mkuu, pili, nashukuru kwa kunipa moyo.
 
Men....... mbona wengi wenu mna mashaka kiasi hiki? Wasichana wa hivyo wapo jamani ni wachache lakini wapo!
Ila sasa ukiwa bore ndiyo kasheshe inaanzia hapo! Mleta mada jiangalie tabia zako unaweza kuwa mume bora kwa binti wa aina hii? Ukitulia naye atatulia, ukileta zako za kuleta utaisoma namba! kwa binti mwenye msimamo kama huyo ni ngumu kumchezeachezea, na kuomba sorry!

What u are saying is absolutely true mkuu, anavoonekana ni kwamba ukimkosea ni ngumu kusamehe na kusahau, yani kamejitoa mpk naogopa! sinabudi kukaheshimu sana
 
Mkuu embu tilia mashaka kidogo hio tabia yake manake pesa kila mtu anazipenda iweje yeye asitake hata shilingi kutoka kwako ukizingatia ni msichana na pia wa level ya collage mhhhh....otherwise hongera .
 
Huyu ndiyo inabidi umtilie mashaka sana kwanza, ufanye uchunguzi wa kutosha il uwe na uhakika kabisa kuwa anachofanya hiki siyo maigizo ila ni tabia yake halisi. Ukishajiridhisha na kila kitu juu yake kuwa kiko kama unavyomuona, ndiyo hapo sasa unatakiwa ubwabwaje maneno kama ulivyofanya hapa, otherwise anaweza akawa ni mzuri tu na anafaa kwa kuoa, ila akawa hana qualities exactly kama unavyomuona sasa. Ikitokea hivi na huku wewe ulikuwa umesham-rank juu sana, to some extent unaweza ukaja kuwa discouraged sana huko mbele ya safari,na inawez kupelekea kuharibu ama kuyumbisha mahusiano yenu mema. Fanya uchunguzi na ujiridhishe kabisa kuwa vile unavyomuona ndivyo alivyo.

Kuhusu kuigiza, hapana mkuu, huyu binti ndivyo alivyo, mabinti sijawajua jana wala juzi, nimeshamsoma tayari.
 
Mkuu embu tilia mashaka kidogo hio tabia yake manake pesa kila mtu anazipenda iweje yeye asitake hata shilingi kutoka kwako ukizingatia ni msichana na pia wa level ya collage mhhhh....otherwise hongera .

Mashaka yapo, ila on the other hand inawezekana alilelewa vzr, that means malezi yamechangia kwa kiasi kikubwa kuwa vile alivyo.
 
Kana miaka 20, baba yake mzazi ni mpare na mama mu-iraq. Ni kazuri kupindukia coz sinaga historia ya ku-date mabinti wabaya. Bado kako chuoni.

Oneni tabia zake... hakajawahi HATA SIKU MOJA kuniomba pesa, nikajishtukia ikabidi nimuulize kama ana shida yoyote, akanijibu kwamba kwa sasa wenye wajibu wa kumtunza na kumsomesha ni wazazi wake.

Nina gari, ila hajawahi kuliulizia siku asiponiona nalo, ameshaniaminisha kwamba ananipenda kama nilivyo, tofauti na madem wengine wapenda maujiko kwamba mabwana zao wana magari!

Siku nikipata dharura nikawa sina airtime kwenye simu ananitumia!

Msimamo ndio usiseme, kuna jamaa alimtaka mtoto akakataa, jamaa akamtishia, mtoto akaenda kumshtaki polisi.

Binafsi nimewahi kumnunulia vitu vidogovidogo tu tena kwa kumbembeleza ikibidi kumlazimisha!

Asipobadilika wallahi vile NAOA!


Katika dunia ya leo! ndoa haina tofauti na busness! Unapotaka kufanya biashara na huna mtaji unatafuta buzness patner ambaye ataongeza mtaji/maarifa katika buzness yenu! the same to marriage

Ukipata binti ambaye ana akili nzuri, tabia nzuri, kichwani kunachaji na ni mzuri wa sura (umbo) basi hauna budi kumuoa manake unajua ni lazima mmaisha yenu yatakuwa mazuri mbeleni! atakupa watoto wazuri wa sura na tabia, atakupunguzia matumizi nyumbani na kubwa ya yote utapata watoto wenye vichwa vizuri!

Binafsi, msemo wangu ni kuwa tafuta binti mwenye sifa taja akupatie mtoto, the rest ni mipango ya mungu!

Ushauri wangu weka mtoto ndani ASAP na mak sure anakupatia mtoto haraka iwezekanavyo
 
Ni PM jina lake na chuo nifanye intelejensia halafu nikutonye, mambo ni kupeana tafu mkuu. Niaminie ....sipendi uje ulie kilio cha mbwa mdomo juu...
 
Kuhusu kuigiza, hapana mkuu, huyu binti ndivyo alivyo, mabinti sijawajua jana wala juzi, nimeshamsoma tayari.

Kama ndivyo basi una bahati yuko safi wala hukuwa na haja ya kuhitaji opinion za watu kutoka kwenye jukwaa hili, kwani mwishowe utaishia kupata mawazo mchanganyiko yakuchanganye ukosee njia. Kwenye situations ambazo ziko obvious namna hii the rule of the thumb is that someone has got to be self decisive, and you are as well, not an exception to the rule!
 
Kama mnapendana anza kuchukua hatua za ndoa mapema...
 
Back
Top Bottom