Kwa tabia hizi LAZIMA UOLEWE

Kamanda, kuna usemi mdogo tuu unasema hakuna nyumba nzuri isiyokosa mpangaji. Kuna binti alikuwa kaumbika kweli tena balaa alinipenda sana alinifuata kazini nikitoka tuko wote, aliishi kwa mama yake mdogo, alinipenda sana kwa kweli, alininunulia vizawadi zawadi vidogo kibao, mwisho wa siku alikuwa na babu. Yule babu alikuwa akimhudumia sana yule demu. Tatizo ilikuwa mzee performance zero. Nilipogundua na kumuacha alilia sana
 
...Asipobadilika wallahi vile NAOA!
Katika vyote, ambacho ni cha uhakika ni kuwa "atabadilika". Binaadamu ni dynamic. Jifunze zaidi juu ya neno "strategy"/"mkakati" and trade carefully my friend.
 
Hapa ndio utashangaa wanaume wasivyojua wanataka nini,wakiombwa pesa wanalalamika! Wasipoombwa wanahisi kuna wanaohudumia!!!!!
Bint anajitambua cha msingi ni wewe mkaka kuwa responsible sasa,haombi pesa lakini bado unaweza kumpelekea zawadi na hata pesa unapohisi anahitaji au hata once baada kila 3months!
Jitambueni men,sio lazima muombwe ombwe!!!!

Ushauri mzuri Ennie
 
Kamanda, kuna usemi mdogo tuu unasema hakuna nyumba nzuri isiyokosa mpangaji. Kuna binti alikuwa kaumbika kweli tena balaa alinipenda sana alinifuata kazini nikitoka tuko wote, aliishi kwa mama yake mdogo, alinipenda sana kwa kweli, alininunulia vizawadi zawadi vidogo kibao, mwisho wa siku alikuwa na babu. Yule babu alikuwa akimhudumia sana yule demu. Tatizo ilikuwa mzee performance zero. Nilipogundua na kumuacha alilia sana

Duh! majanga mkuu!
 
Na uoe kweli sio unakaa wee af u come to break her heart,kashakupenda unataka nin tna,she z nt perfect like any1 bt walau ana mazur hayo,
kuna punga mmoja alikuwa haishi kunisifia af kaja kapotea kweupeeee...
 
Una mpango nako au ndo unasubilia uje na part 2 utuambie eti kale ka she sasaivi sikaelewi! Wakati umetuhakikishia kametulia? Jitahidi bwana usikaangushe maana kenyewe umeshatuhakikishia kanakupenda.

Kweli kbs nina mpango nako mkuu, this is very serious.
 
Na uoe kweli sio unakaa wee af u come to break her heart,kashakupenda unataka nin tna,she z nt perfect like any1 bt walau ana mazur hayo,
kuna punga mmoja alikuwa haishi kunisifia af kaja kapotea kweupeeee...

Kweli naoa badiebey, mark my words.
 
Mkuu wanawake wengi hawapendi kuombaomba, ukiona anakuomba pesa ujue umesahau wajibu wako na amevumilia sana ikabidi afanye hivyo. wewe wajibika ipasavyo sio ufurahie kwamba huombwi pesa, na hakuombi coz yuko kwa wazazi wake na akishatoka kwa wazazi wake usitegemee ataacha kukuombaomba, sasa sijui hiyo tabia itaanza kukukera!? Manake wewe unafurahia huombwi pesa. Halafu miezi 3 bado kabisa kumfahamu mtu kwa undani, kuwa makini...
 
Nilimpata dada mmoja wa aina hii. Huwa ananiulizia kama bado nina salio la kutosha kulingana na majukumu niliyonayo. Usipopiga simu anakupigia na haulizi 'kwa nini hujanipigia?'. Lakini pia itategemea na utakavyomzoesha.
 
Kamanda, kuna usemi mdogo tuu unasema hakuna nyumba nzuri isiyokosa mpangaji. Kuna binti alikuwa kaumbika kweli tena balaa alinipenda sana alinifuata kazini nikitoka tuko wote, aliishi kwa mama yake mdogo, alinipenda sana kwa kweli, alininunulia vizawadi zawadi vidogo kibao, mwisho wa siku alikuwa na babu. Yule babu alikuwa akimhudumia sana yule demu. Tatizo ilikuwa mzee performance zero. Nilipogundua na kumuacha alilia sana

Ha,ha,ha. Mkuu ulitakiwa usimuache, hawa wazee wengi wana kisukari na wana tamaa ya macho. Sema shida ni magonjwa mengi tuliyo nayo.
 
Mkuu wanawake wengi hawapendi kuombaomba, ukiona anakuomba pesa ujue umesahau wajibu wako na amevumilia sana ikabidi afanye hivyo. wewe wajibika ipasavyo sio ufurahie kwamba huombwi pesa, na hakuombi coz yuko kwa wazazi wake na akishatoka kwa wazazi wake usitegemee ataacha kukuombaomba, sasa sijui hiyo tabia itaanza kukukera!? Manake wewe unafurahia huombwi pesa. Halafu miezi 3 bado kabisa kumfahamu mtu kwa undani, kuwa makini...

Nimekuelewa mkuu
 
Nilimpata dada mmoja wa aina hii. Huwa ananiulizia kama bado nina salio la kutosha kulingana na majukumu niliyonayo. Usipopiga simu anakupigia na haulizi 'kwa nini hujanipigia?'. Lakini pia itategemea na utakavyomzoesha.

Time will tell mkuu, ngoja tuone
 
Na uoe kweli sio unakaa wee af u come to break her heart,kashakupenda unataka nin tna,she z nt perfect like any1 bt walau ana mazur hayo,
kuna punga mmoja alikuwa haishi kunisifia af kaja kapotea kweupeeee...

Nachukia sana uandishi wa aina hii. Unatumalizia kilojoules zetu kufikiria nini umeandika. Huu uandishi uachieni huko huko kwenye umbea wenu!
 
Kaka sikia ukiina kafikia vigezo vyako beba maana watu wa kando kila mtu atasema Lake na wanaokuwa negative ni kutokana na matatizo yalio wakumba wao. Haya mambo hayana formula u make ur own. Wengi wakibadilika hutegemeana saanaa na wewe mwenyewe. Ukichange jiandae ne yy atachange fastaaa!!
 
Ha,ha,ha. Mkuu ulitakiwa usimuache, hawa wazee wengi wana kisukari na wana tamaa ya macho. Sema shida ni magonjwa mengi tuliyo nayo.
Tatizo linakuja mkiwa barabarani town mnatembea Hana raha alikuwa akiona yale ma landcruiser ya 80s lzm achepuke aingie dukani au asingizie chochote kile nikimbana utasikia mama mdogo ataniona nikaja gundua si mama mdogo. Akipigiwa simu na huyo babu anaenda pokelea hukoo mbali. Yule mzee alikuwa mhasibu wa wizara flani, basi wakati wa bunge alikuwa anakwenda dom km mara tatu au nne, mara zote akienda lzm aende na huyo demu. Atakuja kwangu naenda moshi sijui nafuata ada, the minutes akiondoka hapatkani mpaka afike dom jamaa likienda kazini basi demu atawasha simu ndo ananipigia mara ooh baba hajaninulia simu akiiona itakuwa soo hiyo ilikuwa way back 2002. Shule alikuwa hasomi ni kuzunguka tu na huyo babu. Hawa watoto wa vyuoni. Waangalieni hivyo hivyo tu wanaishi maisha ya ajabu sana
 
Back
Top Bottom