Kwa style hii single mother wataongezeka maradufu!

Aisee unawakati mgumu

huenda hii trick nawe uliitumia na ukaikosa ndoa, pole sana single maza
kwa sasa pambana na malezi ya mwanao huko
ndoa ni kupunguza zinaa katika jamii na kuongeza Kizazi ,Hakuna cha ziada maisha ni yaleyale kama ya dhiki au Utajir hata wasiooa na wasioolewa wanayo. Mimba ni matokeo ya tendo. Usitutishe wewe kama hutaki kuoa povu LA nini au Ulitaka MIMBA ubebe wewe badala ya yeye😎😎
 
mbona hukuleta uzi kama kuna demu mnagegedana kavukavu? emu msaidie mwenzako kulea mimba coz mligegedana wenyewe na hayo ndo matunda yake.
 
Jinsi ya ku handle relationship , expectations na outcomes zake nadhani ni jambo la msingi kufundishwa kuanzia kwenye familia hadi mashuleni.
 
Mkuu kama ulikojoa nje au kutumia p2 halafu akashika mimba basi laumu... Yani wewe umekatia ukamwaga huko tena huku unamwambia we ni mtamu .. Nakupenda nani yako tamu sikuachi .. Lea hiyo mimba na oa huyu mwanamke eti single mother ? Utafikiria alijitia mwenyewe au kukuibia sperm zako.? Mfyuuuu
 
nadhani suala la msingi ni kuwa maamuzi ya kuamua kuzaa ni ya wapenzi ikiwa ni pamoja na kuweka maandalizi ya malezi ya mtoto/watoto (lucky dube aliimba kuhusiana na hili) .

ushauri:
i. lea mimba acha utoto hayo ni matokeo ya kuuza mechi.

ii. wanawake msichukulie mimba ni kigezo cha ndoa.

iii. wanaume kama tunaona hatuko tayari kuwa na watoto ni vyema kutumia kinga.

iv. wanawake mtembee na wanaume wanaojielewa na wasiokwepa majukumu yao.
 
Ulivokuwa unasex nae without using protection ulikuwa unategemea nini??? Kwahiyo ulitaka atoe then baadae uje kumtangaza humu kama wanawake wanakosa vizazi kwasababu ya kufanya abortion!!!

Mmezoea kutuchezea eeenhhh lea mtoto huyo
Nyapu haikuumbwa kwa ajili ya kutumia protection ile imeumbwa itumiwe mbichi...kwanza kutumia kinga ni dhambi.....naujue kuanzia Leo mwanamke asipokuwa makini atakuwa wakuumia tuu kwenye suala la 6*6 kwa maana sikila mwanaume anakwichi kwichi na demu peku basi anataka ntoto ! Wengine tunatakaga utamu tuu...walile joto
 
umeelewa mantiki ya uzi huu!

wengine povu tu
 
Ulivokuwa unasex nae without using protection ulikuwa unategemea nini??? Kwahiyo ulitaka atoe then baadae uje kumtangaza humu kama wanawake wanakosa vizazi kwasababu ya kufanya abortion!!!

Mmezoea kutuchezea eeenhhh lea mtoto huyo
[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] kweli aleee mtoto
 
Hawa viumbe cc ndio wa kuwa control ulitakiwa ujue siku zake za hatari kabla ya kuanza kugegedana nae
 
Nyapu haikuumbwa kwa ajili ya kutumia protection ile imeumbwa itumiwe mbichi...kwanza kutumia kinga ni dhambi.....naujue kuanzia Leo mwanamke asipokuwa makini atakuwa wakuumia tuu kwenye suala la 6*6 kwa maana sikila mwanaume anakwichi kwichi na demu peku basi anataka ntoto ! Wengine tunatakaga utamu tuu...walile joto
Sijasema kama kila anayesex without using protection anataka mtoto ila kama ikatokea your girl akapata mimba you have to take your responsibility as a father to be na sio kulalamika au kumlaum mtu wako.......mbona kuna wanaume huwa wanauliza watu wao kama wapo siku za hatari or not!!! Hata huyu nae hajielewi kama alikuwa hataki mtoto angejua kucheza na akili ya huyo msichana period
 
Nyapu haikuumbwa kwa ajili ya kutumia protection ile imeumbwa itumiwe mbichi...kwanza kutumia kinga ni dhambi.....naujue kuanzia Leo mwanamke asipokuwa makini atakuwa wakuumia tuu kwenye suala la 6*6 kwa maana sikila mwanaume anakwichi kwichi na demu peku basi anataka ntoto ! Wengine tunatakaga utamu tuu...walile joto
Kojoa nje kama unataka mbichi
 
Inasikitisha kwa kweli!

Sijui Mungu aliwapa ubongo wa aina gani hawa wanawake

Muda kama miezi mitatu imepita nilikutana na binti mmoja ivi hapa mtaani, tukafanikiwa kuyaanza maisha ya mapenzi huku tukifurahia maisha hasa chachu ya penzi letu ikiwa ni kugegedana!

Ajabu huyu mwanamke nimekaa naye miezi mitatu yote hii wala hata hanishirikishi mipango yake, mafikirio yake kwangu kumbe ilikuwa ni kumuoa kabisa, lakini hii haikua shida

Shida imekuja baada ya yeye kujitegeshea mimba tena kimya kimya na hadi sasa inaumri wa mwezi ndio ananipa taarifa!

Enyi wanawake nipende kuwambieni tu kwamba, mimba sio kigezo cha kuolewa!
Mimba huhusisha mipango ya mume na mke, lini wazae na maisha ya mtoto yatakuaje

Sasa nyie mnakurupuka tu eti unatega mimba ahahahahah

Kwa mtindo huu single maza mtakuwa wengi sana huku mtaani na mtaishia kutulaani tu na laana wala hazitatufikia kwa namna hii, tutawatelekeza sana
Siku izi wanachukua video ukiwa umelala fofofo.. Wanarekodi dudu yako kila Engle.
 
Huna akili kabisa, sex ni kwaajili ya kuzaa tu sio starehe kama ulivyotaka iwe. Ungetumia kondomu au ungepiga nyeto.
 
Back
Top Bottom