Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,109
- 126,331
Sasa mkuu huyo mdada anaanzaje kukushirikisha kama wewe ulikuwa humshirikishi.
Siku zote maisha ni kukaa na kupanga kama hukuwa na muda wa kupanga malengo ya mahusiano yenu zaidi ya kutegemea kugegedana kila leo ulikuwa unategemea nini.
Kama unaamua kumtelekeza we mtelekeze tu mana ndio tabia za wanaume walio wengi hivyo hata sishangai.