gonga hausi geli mkuuHiyo ndio raha ya kupiga mbichi, mimi nataka kabla mwaka huu haujaisha nimpe mtu mimba niongeze mtoto
sio kila tendo linalotendwa peku lengo lake lazima lilete mimbaUlivokuwa unasex nae without using protection ulikuwa unategemea nini??? Kwahiyo ulitaka atoe then baadae uje kumtangaza humu kama wanawake wanakosa vizazi kwasababu ya kufanya abortion!!!
Mmezoea kutuchezea eeenhhh lea mtoto huyo
niligemea burudani tu!Unafanya nae mapenzi kashika mimba unashangaa mtu wa ajabu sana wewe ulitegemea hana kizazi wala hashiki mimba acha kukwepa majukumu kwa kisingizio cha mipango wakat ulikuwa huvai kondomu.
Ulivoanza nkajua labda demu kakukataa ukiwa umempa ujauzito kumbe ndo wale wapenda vinavyoelea tu
daily nawagonga bila kinga, ndom inazuia utamuAcha utoto, yaah usishangae naanza kwa ukali kidogo. Yaani wewe kwa akili zako unagegeda tuuu, bila hata kutumia kinga unategemea nini hapo.? Kwani nikuulize ni nani anamtegeshea mwenzake hapo wakati wewe ndio wa kwanza kulaumiwa maana umekuwa ukimuomba mgegedo mara kwa mara ukimaliza haja zako kwa kuondoa vigudulia vyako.., acha utoto. Angalia pia maradhi hapo wewe endelea na zinaa hovyo
sina haja ya kuikataaTukiachana na rate ya single mothers kuongezeka kama maduka ya M-pesa hapa mjini, vipi sasa mkuu kuhusu hiyo Mimba ya madame umepanga kuikubali au kuikataa na upite hivi ??