Kwa style hii single mother wataongezeka maradufu!

Kwa style hii single mother wataongezeka maradufu!

Kojoa nje kama unataka mbichi
Kukojolea nje ule ni ushujaa tena wa hali ya juu...ni wachache wanaweza fanikisha kukojolea nje ila wengine utasikia nimejisahau..

Harafu nikujuze shekhe ukitaka ukipiga goli nyingi kwa demu ..uwe unatupia nje harafu jimwagie MAJI mwilini lazima jamaa anainuka ...
 
Sawa mkuu
 
Inasikitisha kwa kweli!

Sijui Mungu aliwapa ubongo wa aina gani hawa wanawake

Muda kama miezi mitatu imepita nilikutana na binti mmoja ivi hapa mtaani, tukafanikiwa kuyaanza maisha ya mapenzi huku tukifurahia maisha hasa chachu ya penzi letu ikiwa ni kugegedana!

Ajabu huyu mwanamke nimekaa naye miezi mitatu yote hii wala hata hanishirikishi mipango yake, mafikirio yake kwangu kumbe ilikuwa ni kumuoa kabisa, lakini hii haikua shida

Shida imekuja baada ya yeye kujitegeshea mimba tena kimya kimya na hadi sasa inaumri wa mwezi ndio ananipa taarifa!

Enyi wanawake nipende kuwambieni tu kwamba, mimba sio kigezo cha kuolewa!
Mimba huhusisha mipango ya mume na mke, lini wazae na maisha ya mtoto yatakuaje

Sasa nyie mnakurupuka tu eti unatega mimba ahahahahah

Kwa mtindo huu single maza mtakuwa wengi sana huku mtaani na mtaishia kutulaani tu na laana wala hazitatufikia kwa namna hii, tutawatelekeza sana
Hapana hapa ctokuelewa unamaanisha nini kuwa hukuwa na mbegu zilizokomaa kiasi ambacho hukujua kama utampa mimba binti wawatu! Au wewe ulijua hana kizazi so hukutaka kuwa na tahadhari! Kuhusu mimba na mtoto ni wako huna budi kumlea na kumuoa huyo mwanamke c ulimpenda haraka sana rekebisha huu uzi wako hatutaki watoto wa mitaani sawa.
 
si kila anayepewa mimba huolewa!
mimba ni zao, zao linalotokana na mipango na makubaliano ya watu wawili

mimba sijaikataa na nitalea mtoto ila mama yake kupata kuolewa na mimi asahau kabisa!
 
si kila anayepewa mimba huolewa!
mimba ni zao, zao linalotokana na mipango na makubaliano ya watu wawili

mimba sijaikataa na nitalea mtoto ila mama yake kupata kuolewa na mimi asahau kabisa!
Hapo kidogo nitakuelewa kumsaidia kumlea huyo mtoto kwakuwa ni wako pambana na hilo
 
Back
Top Bottom