Kwa staili hii ntapofuka

Kwa staili hii ntapofuka

Mkuu nimejaribu imegoma haipunguzu mwanga.Nimeenda kwenye power option kwa chini nayo haina option ya kuadjust brightness.Nahitaji maajanja ya kumaliza hili tatizo la mwanga Toshiba Win 7.
Toshiba ipi?

laptopb.jpg


Umeona hapo juu unabonyeza fn na button zilizochorwa mwanga.

Computer zinazotofautiana cha muhimu angalia button ilochorwa mwanga na huo mchoro wa rangi gani.

Picha yetu inaonyesha rangi ya cyan basi bonyeza fn ya cyan na button za mwanga, laptop nyengine kama lenovo inakua magenta au red
 
Back
Top Bottom