Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,683
- 272,542
Ona, umeandika nini, kazi tunayo, huyu nae eti msomi, wewe ni kukuacha uendelee na ujinga ulionao
wala usihangaike naye mkuu , hebu muulize hii ID YA LEO NI YA NGAPI ?
Ona, umeandika nini, kazi tunayo, huyu nae eti msomi, wewe ni kukuacha uendelee na ujinga ulionao
Ona, umeandika nini, kazi tunayo, huyu nae eti msomi, wewe ni kukuacha uendelee na ujinga ulionao
Ukweli mchungu huu chadema hawana jipya tena jina ndiyo limebaki.1.Ukabila.
2.Udini.
3.Ukanda.
Na ubaguz wa waz waz ndan ya chama hiko umekiua moja kwa moja.
Pamoja na kwamba ccm imeshindwa moja kwa moja lakin chadema kimekosa qualifications za kuwa mbadala wake.
Kama Mnabisha tuombe uhai 2015.
Mzigo mmojawapo ni lema na sugu kwahiyo bado ipo sana tu.Hivi zile siku 90 za kuvua magamba bado hazijaisha?.hivi mizigo bado ipo chamani?au?
Mzigo mmojawapo ni lema na sugu kwahiyo bado ipo sana tu.
zito msaliti.leticia nyerere msaliti.shibuda msaliti.arfi msaliti.nasssar msalit. iki chama kwishnei
Nimecheka sana uliposema yeye ni MSHABIKI JINA .Kama anaakili na ameliona lile tangazo atakuwa amejielewa yeye yukoje na umemaanisha nini. Kwa mtu makini angeweza kujitoa roho au kutokurudi tena JF kwa hiyo ID yake.Unaimba na kucheza mwenyewe, wewe kweli kichaa na kama ungekuwa mshabiki kwenye mpira wa miguu basi wewe ni MSHABIKI JINA
Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.
Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.
Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.
Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.
Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.
Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.
Ustaadh?
Ustaadh?
Kwi kwi kwi kwi kwi lol!!!! Hahahahahahahaha we heard this song before, but there are no fans out there to fall in love with your song. Please try a new song 🙂🙂
Huna akili iliyo tulia, huwezi kupost utumbu kiasi hiki. Hayo uliyopost nini jamii itajifunza ? Hakika wewe ni Raia mzigo.
Mzigo mmojawapo ni lema na sugu kwahiyo bado ipo sana tu.
Mzigo mmojawapo ni lema na sugu kwahiyo bado ipo sana tu.
Hivi zile siku 90 za kuvua magamba bado hazijaisha?.hivi mizigo bado ipo chamani?au?
Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.
Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.
Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.
Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.
Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.
Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.
Mbona udini na ukabila pia viko CCM?1.Ukabila.