Kwa staili hii CHADEMA kimeisha

Kwa staili hii CHADEMA kimeisha

Safari hii mtamtafutia kila jina, sisi tunaangalia matokeo tu.
Ya serikali ya CCM kupeleka bungeni bajeti isiyotekelezeka? au ya wewe kusukumwa na chuki dhidi ya Nyerere kwa kisingizio cha uislam pori?
 
Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.

Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.

Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.

Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.

Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.

Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.

Hakuna JF bila kutaja Chadema na viongozi wake, na watu hawastuki siku hizi manake ndio sera za JF kuipromote chadema kwa njia ya matusi it doesn't matter ili mradi chadema imewapa ajira watu kama nyie mupo JF 24/7 kusema chadema ili mama zenu baba zenu wake zenu na wanenu wapate mkate wa siku chadema hoyee
 
Kama ni mfatiliaji wa siasa za bongo utajua bila shaka yoyote CHADEMA inaanguka kwa kasi ya ajab.

Baada ya kumwita Zitto ni msaliti na kususa hata mambo ya kifamilia ya Zitto CHADEMA wamekosa mvuto na wanaanguka kwa kasi ya ajabu.

Ni juzi Mdee alimtuhumu mbunge mwenzie Leticia kama ni msaliti.Wapo waliwahi kumwita Shibuda ni msaliti.

Bila shaka baadhi ya wabunge 2015 wataiacha CHADEMA.

Kuthibitisha haya dr. Slaa amekimbilia UKAWA na kujifanya haini mtifuano mzito pale Ufipa.

Taarifa za ndani ni kuwa wapo wanasuburi muda appropriate ufike mambo yawe hadharani.

Acheni kuhangaika na chdm hangaikeni na serikali ya chama chenu kinachoiteketeza nchi yenu kila kuchapo, soma hii:

Habari za uhakika ni kwamba serikali imeshindwa kulipa hata wabunge, achilia mbali mambo mengine, wabunge toka tarehe 15/6/2014 hawajalipwa posho wala sitting allowance, ambapo kabla ya hapo serikali ilichukua fedha benki (overdraft), ikalipa stahili za wabunge hadi tarehe 14/6/2014, baada ya hapo haijaweza kukopa tena fedha.

Hali iliyopo sasa ni mbaya, serikali imefikia kwenda kumpigia magoti Bakhresa ili aisaidie mkopo wa kulipa wabunge. Jitihada zilizopo kwa serikali ni kupata mkopo haraka kwa tajiri yeyote mkubwa ili iweze kuendesha bunge na kulipa stahili za wabunge!
 
Nimecheka sana uliposema yeye ni MSHABIKI JINA .Kama anaakili na ameliona lile tangazo atakuwa amejielewa yeye yukoje na umemaanisha nini. Kwa mtu makini angeweza kujitoa roho au kutokurudi tena JF kwa hiyo ID yake.

Hahahaaa! kweli mkuu lile tangazo la world cup ni noma! Vilevile CHADEMA wapo wale mashabiki wa WANAOVUTIWA kama lile tangazo la WORLD CUP! teh teh! kifua cha msela tu bas kinawaacha hoi wadada wa watu; bila kujali jamaa anapga soka la ukweli au la.! siasa za bongo noma.
 
Nawewe kwa staili yako ya mbuzi ka goma unafikiri unamfikisha kileleni wapenzi wako wa Lumumba?
 
Back
Top Bottom